Huu ni uzi tena sio wa kwako! Umeandika pumba nimekwambiaUkiachwa achika. Ukome kuniganda. ..
Pumba unazifata za nini? Bladfakeni wewe 🤣🤣🤣🤣
Huyo Mkpa na JK hawana mchango wowote hapo. Afadhali mama Samia anastahili pongezi kuhakikisha mradi unaisha. Hapo Magu na Mama wanastahili pongezi.Mbeba maono ni Ben Mkapa.
Mchochea maono ni JK wa Msoga.
Mtekeleza maono ni Mwendazake Magufuli
Mtimiliza maono ni yeye Suluhu
Kila mmoja kwa nafasi yake ametenda kwa kiwango fulani.
Tupia picha!
Kujenga ni Process, haswa kwenye miradi inayohitaji pesa nyingi hivyo.Mbeba maono Gani hamalizi kazi?
Issue ni utekelezaji bwana
Kwangu mimi Magufuli ndo nampongeza wengine waliishia kuongea tu
Mambo ya upembuzi yakinifu....
Acha ubaya mkuuKujenga ni Process, haswa kwenye miradi inayohitaji pesa nyingi hivyo.
Hata huyo Magu wako hajatekeleza. Mradi kauacha ukiwa less than 60%. Yeye alikuta kila kitu kimeshawekwa, yeye akaindorse funds.
Waliofuata wangeamua kuona hauna maana wangeachana nao tu.
Dodoma ni wachafu na ushahidi ni vyoo vya stendi kuu na vile vya stendi ndogo za mji, je wamejipangaje kuhakikisha vyoo vyote vya stesheni na kwenye mabehewa vinabaki safi foreverWatu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya ternlmials za aieport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Yaani kuna watu wanahangaika kuonesha Magu hana mchango kwenye hio miradi. Magu ndio mbeba maono,mthubutu huku hao wengine walikalia majungu na kuponda hio miradi. Nampongeza mama Samia kwa kuhakikisha miradi inakamilika.Nami nimemtaja kama mbeba maono
Umeandika point! Dr Restart jifunze kwa mzee mwenzako uache kuandika pumba!! Unamchukia Magu alikutumbua na vyeti feki nini?Yaani kuna watu wanahangaika kuonesha Magu hana mchango kwenye hio miradi. Magu ndio mbeba maono,mthubutu huku hao wengine walikalia majungu na kuponda hio miradi. Nampongeza mama Samia kwa kuhakikisha miradi inakamilika.
Kusafisha vyoo ni kazi ya mmiliki wa vyoo.Dodoma ni wachafu na ushahidi ni vyoo vya stendi kuu na vile vya stendi ndogo za mji, je wamejipangaje kuhakikisha vyoo vyote vya stesheni na kwenye mabehewa vinabaki safi forever
Hakuna kitu ni chekacheka tu alishindwa reli ya kawaida wakawapa wahindi ikafaMchochea maono ni JK wa Msoga.
Sina haja ya kutawazwa na asiyeweza kujitawaza mwenyewe. Bado nipo full nondo.Huu ni uzi tena sio wa kwako! Umeandika pumba nimekwambia
Sina muda na wazee mimi! Ulivyokua kijana ulikua na nani hadi uzee umalizie na mimi unipe kazi ya kukutawaza ukijinyea!
Walisema serikali imesubsidise japo umeme unaotumika ni kidogo sana ila sijajua gharama halisi ya uendeshaji kwa route moja ni kiasi ganiPamoja na mbwembwe zote hizi, halahala tusije sikia kuwa shirika linaendeshwa kwa hasara..!! Maana hata ndege tulifanya hivi hivi pamoja na kwenda kuzipokea juu
🚮Sina haja ya kutawazwa na asiyeweza kujitawaza mwenyewe. Bado nipo full nondo.
Mtoto mdogo tulia uchote maarifa. Ujue hata taratibu za miradi inavyoenda. Kuliko kukimbilia kusema pumba.
Kazi nilikutafutia, hutaki. Kazi kunisumbua hela ya Vocha. UKOME.