SGR Dodoma -Dar yaanza rasmi leo 25 July 2024 usiku huu

KIKWETE ATAKUJA KUKWAMBIA ALIANZISHA YEYE. ALIMUACHIA MAAGIZO MAGUFULI
 
Tukutane baada ya 5yrs, Shabiby, ABC, Kimbinyiko nk ndio utawajua watz na makucha yao.

Hatuombei mabaya, ila nchi yetu inajulikana. Hatujawahi kuwa watunzaji wa mali zetu.
 
Ht 60% hiyo kajitajidi sn kwenye nchi hii ya viongozi wanaozingua
 
Viva Samia, uliikuta reli haijafika hata kilometa 40, sasa mpaka mabehewa yapo, yanatembea
 
Huyo mtoto hana adabu. Hana aya hata kidogo. Kisa kafutuka anajiona kakua.

Malabuk.
Nimeongea ukweli! Unamchukia Magu unaongea kuonyesha hana kitu kikubwa alichokifanya hapo

Kua na aibu hata kidogo! Ni vile upo huko vijijini sisi huku wa mjini tunamshkuru kwa miundombinu aliyotuachia!
 
Nje ya mada kidogo


Hivi anaepaswa kufanya marekebisho miundombinu ya mradi wa Mwendokasi ni nani?
 
Nimeongea ukweli! Unamchukia Magu unaongea kuonyesha hana kitu kikubwa alichokifanya hapo

Kua na aibu hata kidogo! Ni vile upo huko vijijini sisi huku wa mjini tunamshkuru kwa miundombinu aliyotuachia!
Simchukii yule mzee. Matumizi mabaya ya chuki. Nimchukie Marehemu?

Alifanya kwa kiwango chake. Kwa uthubutu mkubwa.

Tukigawa kwa asilimia basi tutampa
Ben 10%
Msoga 2%
Magu 55%
Suluhu 33%.

Amefanya sehemu kubwa. Ila haimaanishi ndiye pekee aliyeshinikiza.

Hope umeelewa ewe mwana usiye na adabu.
 
SGR imekamilika hadi Dodoma, tuishukuru sana Serikali ya CCM, tena sana sana, chini ya Mama yetu, Rais wetu mpendwa, Samia Suluhu Hassan, haya ni maendeleo makubwa sana…!!! Chadema mkitaka kuandamana mnaruhusiwa kuapanda ndege za ATCL na treni ya umeme muandamane mikaoni. CCM ni chama cha kufanya kazi na kuleta maendeleo makubwa ya kuonekana na Chadema kazi yao kuandamana na kupanda ndege na treni, sasa wananchi siku hizi wana elimu wanajua mbivu na mbichi, mchele na chuya..!!
 
Hapa sasa ndiyo umeongea vitu vya kueleweka kama marks nakupa 40/100
Mzee wa hovyoo!
 
Nauli bei gani Dom- Dar?Madaraja yakoje? Behewa la ng'ombe lipo,nataka nihamie ma Ndalisalama huko....Kwi pwani- .Nikifika mnipeleke Lumumba nikapaone...Mie ngosha...CCM wamekula sana ng'ombe wa Babu...yangu..Nione walivyojijenga hapo..Halafu nitajua la kufanya..
 
Wananchi wenye Elimu...!?Ipi ..ya CCM...!? HIYO INAKUFAA WEWE NA WAZAZI WAKO TU..CHADEMA na SGR wameingiaje hapo??
 
7bu ya kuwashukuru ni ipi?
Waliomba kura ijapo hawakupewa ili wafanye nini?
 
baada ya miaka 5 huo mradi unajifia, BRT ile pale, daladala za Mbezi zimerudi
 
Mbeba maono ni Ben Mkapa.

Mchochea maono ni JK wa Msoga.

Mtekeleza maono ni Mwendazake Magufuli

Mtimiliza maono ni yeye Suluhu

Kila mmoja kwa nafasi yake ametenda kwa kiwango fulani.

Tupia picha!
Safi kabisa
 
Yaani mtu kuota tu nako anataka apongezwe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…