Umemwamini mzee wa Msoga? HahahaMbeba maono ni Ben Mkapa.
Mchochea maono ni JK wa Msoga.
Mtekeleza maono ni Mwendazake Magufuli
Mtimiliza maono ni yeye Suluhu
Kila mmoja kwa nafasi yake ametenda kwa kiwango fulani.
Tupia picha!
R.I.P CHUMAJPMAHatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa kukata tiketi kwa ajili ya kutumia usafiri huu ambapo usiku huu wamepanga foleni kwa ajili ya kupata huduma ya usafiri.
Sio vibaya tukampa shukrani mbeba maono na mwanzilishi wa huduma hii muhimu Mwenda zake Magufuli.
Rai yangu kwa viongozi wengine wajifunze katika hili nao wawe na moyo wa uthubutu.
Rais Samia unalo la kujifunza hapa.
View attachment 3051256View attachment 3051257View attachment 3051258View attachment 3051259
Pia soma:Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)
wapuuzi tuUkitaja Magufuli kuna watu wanatamani wakutangulize mbele za Muumba lakini ukweli utabaki kuwa ukweli bila uthubutu wake mengi tunayoyaona yasingekuwepo.
Hivi yale makontena ya Makinikia bado yapo pale?
nia ni kufuta legacy ya #CHUMAJPM#Naona Kikwete anapambana sana kwa kucha na meno kuzima uthubutu wa Magufuli wa kuanza ujenzi wa SGR_TZ.
Hata kama maono yalikuwa ya Ben Mkapa, Magufuli alianzisha ujenzi pale ambapo Kikwete alishindwa kuanza. Magufuli anasistahili sifa zote hata kama hampendi.
Maombi yangu kwa watanzania haswaa waliopewa dhamana ya kusimamia huu mradi, kuhakiksiha wanasimamia kwa weledi!mambo yaliyotokea kwenye mradi wa mwendokasi tusingependa kuyaona huku!train zifanyiwe service kwa wakati, majengo yatunzwe, reli zitunzwe!etcHatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa kukata tiketi kwa ajili ya kutumia usafiri huu ambapo usiku huu wamepanga foleni kwa ajili ya kupata huduma ya usafiri.
Sio vibaya tukampa shukrani mbeba maono na mwanzilishi wa huduma hii muhimu Mwenda zake Magufuli.
Rai yangu kwa viongozi wengine wajifunze katika hili nao wawe na moyo wa uthubutu.
Rais Samia unalo la kujifunza hapa.
View attachment 3051256View attachment 3051257View attachment 3051258View attachment 3051259
Pia soma:Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)
Maombi yako ni sahihiMaombi yangu kwa watanzania haswaa waliopewa dhamana ya kusimamia huu mradi, kuhakiksiha wanasimamia kwa weledi!mambo yaliyotokea kwenye mradi wa mwendokasi tusingependa kuyaona huku!train zifanyiwe service kwa wakati, majengo yatunzwe, reli zitunzwe!etc
Sio kuchakaa, watatafutwa wawekezaji siku si nyingiNi suala la muda tu itachakaa
Maono ya kuhamia Dodoma yaliasisiwa na nani? hapo katikati wamepita marais wangapi? uliona hata wamejitikisa kudhubutu? Kubali tu ukweli ulio wazi, bila Magufuli huo mradi mgeishia tu kuuona kwenye TV. usiwape watu sifa wasizostahili...hii pia ni aina flani ya roho ya chuki ulionayo.Mbeba maono ni Ben Mkapa.
Mchochea maono ni JK wa Msoga.
Mtekeleza maono ni Mwendazake Magufuli
Mtimiliza maono ni yeye Suluhu
Kila mmoja kwa nafasi yake ametenda kwa kiwango fulani.
Tupia picha!
Si ndo hapo yaani wanaumia kweli wakiona watanzania tunamvyokubali MagufuliYote hii mnakwepa kuusema ukweli ilimradi tu sifa asipewe mwendazake, nikuulize, wazo la kuhamia dodoma liliasisiwa na nani? hapo katikati wamepita marais wangapi? A typical tanzanian ktk ubora wako na roho ya kwa nini?
Dooh huu ni zaidi ya unaa jamaa.....mama kakuta mradi upo zaidi ya 60% acha uchawa usio na tija....... magu anafariki almost tuta lilikuwa bahi kipande kidogo tu kilibaki kukamilika......mataluma yalifika kilosa au zaidi.......Viva Samia, uliikuta reli haijafika hata kilometa 40, sasa mpaka mabehewa yapo, yanatembea
Kaka achana nae hajui kitu huyo....ndo machawa wenyewe wanasifia kila kitu hata wasivyovijua