SGR hodi hodi Dodoma, masaa matatu unusu umefika

Itaharibika tu
 
Hili suala la kuanza safari saa 11:30 alfajiri hadi leo nashindwa kulielewa, maana hata kama ni suala la kuwahi mkutano nitakuwa nasinzia ovyo mkutanoni si pay attention, kila kitu nakubali kwa sababu ya uchovu na kukosa usingizi, kwa kuwa niliamka saa 8 asubuhi kuwahi treni
 
Huduma nzuri kama hii badala ya kuendelea kuboreshwa utashangaa baada ya miaka 2 inaanza kufa taratibu yale yale tu kama mwendokasi, kuna majitu huko wakiwemo wafanyakazi wanatafuta namna ya kuipiga sgr, ngozi nyeusi sijui imelaaniwa dah!
 
Kati ya ndege na train ipi ina risk ndogo zaidi?
Ndege belt sio kwasababu ya ajali. Ndio maana ikifika juu unaruhusiwa kufungua mkanda. Unafikiri ukiwa juu haiwezi kupata ajali? Climbing na landing ni high risk ndio maana mkanda lazima kwenye kupaa na kushuka. Treni haipai inatembea kwenye njia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…