SGR hodi hodi Dodoma, masaa matatu unusu umefika

SGR hodi hodi Dodoma, masaa matatu unusu umefika

Ma bus yapo muda wowote alfajiri saa 2, 3 4,5,6 mpaka saa 8 na usiku yapo option ziko zote hapa naongelea SGR na sijasema wafute alfajir ila waweke option zaidi ya moja hata mbili tu sawa.
Kuna track moja tu ya reli,treni hazipishani mpaka kwenye vituo maalum. Wakisema waongeze frequency ya treni basi itakua hapatoshi kila dakika kadhaa tusimame isubiriwe nyengine ipite.
 
Kuna track moja tu ya reli,treni hazipishani mpaka kwenye vituo maalum. Wakisema waongeze frequency ya treni basi itakua hapatoshi kila dakika kadhaa tusimame isubiriwe nyengine ipite.
Treni zinapishana station. Umbali mrefu tu ni masuala ya logistics treni zinafika kwenye hizo station muda sawa hivyo hakuna kupoteza muda. Sio sababu ya kutokuwa na treni nyingi.
Hawana treni nyingi kwasababu ni mwanzo hawana hesabu ya uhakika ya wingi wa abiria.
 
Kuna track moja tu ya reli,treni hazipishani mpaka kwenye vituo maalum. Wakisema waongeze frequency ya treni basi itakua hapatoshi kila dakika kadhaa tusimame isubiriwe nyengine ipite.
Sasa zikija train za mizigo? Hapana ndugu yangu kama hilo ndio linakutia shaka basi wasingefanya train Dom to Dar na Dar to Dom zote zinaondoka asubuhi kwa kupishana nusu saa hivi mbona hakuna shida, kuna system inawekwa kuhakikisha train zinatembea muda wote. Juzi serikali imesema hata ikija private sector mtu anataka kutumia SGR wataruhusu sasa zitapishana kivipi? mfumo upo kuwezesha yote haya nikuwa tu hatutaki kufikiri sana.
 
Hili suala la kuanza safari saa 11:30 alfajiri hadi leo nashindwa kulielewa, maana hata kama ni suala la kuwahi mkutano nitakuwa nasinzia ovyo mkutanoni si pay attention, kila kitu nakubali kwa sababu ya uchovu na kukosa usingizi, kwa kuwa niliamka saa 8 asubuhi kuwahi treni
ulitaka uende saa ngapi?
mkishapata madaraka mnajisahau sana
 
Naipongeza sana serikalini kwa hii treni aisee tuseme ukweli itasaidia sana sanaa
 
Back
Top Bottom