SGR hodi hodi Dodoma, masaa matatu unusu umefika

Ila hawa watu. Mwanzo ya Morogoro ilikuwa hivyo hivyo watu wakalalamika wakaweka saa tatu. Sasa kweli napand express kuna sababu gani ya kuamka saa 10? Basi hata waweke ingine saa tatu,nne au saa sita mchana.
 
Ndio, si kwa class au,
Ila class ya chin ni 12,

Mfano Dom kuna tren ya 31k ila ipo ya 120K pia, kwa hio ni kupima uwezo wako tu
Hapana hio ya 13k kuna muda inakua 20 sasa na hawasemi mpaka uende physically
Ni ecenomy zote
 
atukuzwe Mungu kwa ajili ya hii reli kwa kweli. imetuheshimisha sana kama nchi na itarahisisha sana maisha.
 
Huu ni ubishi sasa treni zinakua mbili kuna express na kawaida na nauli zinakua mbili ila wanazo zipromote ni za aina moja
Sasa ushaambiwa tren mbili,
Kwan umelazimishwa kupanda ya bei kubwa ? Mbona unalalamika sanaa?
 
Mbeleni watu wanaoishi Ruvu ,Soga wafikiriwe hata kwa kuwepo kwa behewa lao maalum hata la kusimama na viti vichache..hii itasaidia watu kukaa nje ya Dar na kuwahi kazini..yote kwa yote KUDOs kwa serikali na TRC k
 
Mbeleni watu wanaoishi Ruvu ,Soga wafikiriwe hata kwa kuwepo kwa behewa lao maalum hata la kusimama na viti vichache..hii itasaidia watu kukaa nje ya Dar na kuwahi kazini..yote kwa yote KUDOs kwa serikali na TRC k

Taja KUDOs Magufuli acha unafiki
 
Wajitahidi huu mradi usife mapema angalau hata miaka 5 tu..

Na kama wataona mapema wanaendesha mradi huu kwa hasara
basi wapewe haraka WAWEKEZAJI.
 
Kwahiyo moro kushuka ni dakika tano tu. Watanzania walivyokuwa wavivu hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…