Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Unafahamu maana ya military base lakini mkuu?Mawazo yako ndo hafifubndo maana hujajibu hoja yangu.ukweli ni kwamba wachina wanapataka hapo ili kujenga military base Yao ili kuweza kukontrol biashara kwenye bahari ya hindi habari tunazo Rais mwenye Akili kubwa kama Magufuli hawezi kukataa kitu kizuri Kwa nchi yetu.
Ndiyo.bado Nina wasiwasi na umakini wa Rais Samia.mambo mengi yanaenda ovyo.Unafahamu maana ya military base lakini mkuu?
Usipotoshwe kabisa, Rais Samia ni mtu makini sana,
Mambo gani yanakwenda hovyo?Ndiyo.bado Nina wasiwasi na umakini wa Rais Samia.mambo mengi yanaenda ovyo.
Umeme,mfumo wa bei vitu vimepanda bei,Hana miradi ya maana aliyofanya Mpaka Sasa hivi.Mambo gani yanakwenda hovyo?
Hebu nipe mifano miwili,
Sema labda atakuja kufanya vizuri zaidi.Mambo gani yanakwenda hovyo?
Hebu nipe mifano miwili,
Utakuwa sawa pia ukitumia maneno hayoSema labda atakuja kufanya vizuri zaidi.
Pia aepukane na wasaidizi wanaoweza kumuangusha na kumchafua.ila pia kuna Maeneo kafanya vizuri mfano kwenye diplomasia.narudia ila asiwakumbatie watu watakaomchafua.mfano mafisadi,walarushwa.Mfano kama wale vijana kwenye utawala uliopita walivyowaumiza watu.Utakuwa sawa pia ukitumia maneno hayo
Teknolojia mpya inapochukua nafasi huwa inaziacha teknolojia za zamani zikifa njaa,huo ndiyo mfumo wa ulimwengu wa sasa unavyoenda,hapo zamani texi zilishika hatamu kwenye kusafirisha abiria wa kukodi sehemu za mijini,lakini zikaja bajaji na bodaboda,hapo zamani kulikuwa na biashara inaitwa internet cafe ambayo ilimezwa na ujio wa smart phone, wenye internet cafe wala hawakuhoji eti wakale wapi,kwa ujio wa SGR,ni dhahiri kwamba bIashara ya Usafiri wa malori itapungua sana.Halafu wenye Malori waje kula kwako?
Teknolojia ya Reli haijawahi kufanya Malori yapaki angalia North America na Europa ndugu tembeeni muone.Teknolojia mpya inapochukua nafasi huwa inaziacha teknolojia za zamani zikifa njaa
Mkiwa mnaandika comments muwe mnatumia akili kidogo halafu kuheshimu uwezo wako wa kufikiri ni jambo la busara sana unaweza kuropoka ukaonekana hauna akili.Semeni ukweli mnataka kuwapa bandari wachina ili wajenge military base Yao.
Mfano wako wa north America na Europe ni mzuri ila mazingira yao ni tofauti na hapa kwetu,ujio wa reli ya TAZARA ulipelekea makampuni kadhaa ya malori kufungwa mojawapo ninalolikumbuka ni Tanzania Zambia road service Hawa walimiliki maFiat zaidi.Teknolojia ya Reli haijawahi kufanya Malori yapaki angalia North America na Europa ndugu tembeeni muone.
Ukiwa na akili utajua kwanini mtu kama magufuli aliukataa Mradi huu.Naamini nyuma ya mradi huu kuna kitu.Na siyo kitu cha Siri kwamba China inataka kujenga military base yake Tanzania ili kukuza kukontrol biashara bahari ya Hindi.Magufuli Rais ambaye anapenda miradi mikubwa eti aukatae Mradi muhimu kama huu wa Bandari?alafu usifosi Mimi nifikirie kama wewe.I am a free thinker. I always think out of the box.Mkiwa mnaandika comments muwe mnatumia akili kidogo halafu kuheshimu uwezo wako wa kufikiri ni jambo la busara sana unaweza kuropoka ukaonekana hauna akili.
Unaongea na mtu mwenye data na anayejua huo mradi kijana. Wacha ninyamaze.Ukiwa na akili utajua kwanini mtu kama magufuli aliukataa Mradi huu.Naamini nyuma ya mradi huu kuna kitu.Na siyo kitu cha Siri kwamba China inataka kujenga military base yake Tanzania ili kukuza kukontrol biashara bahari ya Hindi.Magufuli Rais ambaye anapenda miradi mikubwa eti aukatae Mradi muhimu kama huu wa Bandari?alafu usifosi Mimi nifikirie kama wewe.I am a free thinker. I always think out of the box.
Okey nimekuelewa boss.cha muhimu Tu wazingatie maslahi ya taifa kama mradi unafaa Acha uendelee Tu.Unaongea na mtu mwenye data na anayejua huo mradi kijana. Wacha ninyamaze.
Kuhusu uwepo wa Military base huo mradi sio sehemu ya huo mpango that is what I can assure you 100%.
Huo no mradi upo facilitated na serikali ya Oman wao ndio wanatoa pesa Kama financier kupitia exim bank ya China ambapo anayekopa ni China Harbors it's purely intended for business.
Haiingii kichwani China wakope pesa kujenga military base hii ndio nataka ufahamu. Military base huwezi kujenga kwa pesa ya mkopo, never. China Kama wangetaka kujenga Military base wasingekubali kuingia Joint Venture na serikali ya Tanzania kupitia TPA ambapo wanaform a company itakayosimamia Bagamoyo port.
Naomba uhusishe uelewa wako vizuri. Otherwise Kama huelewi as long haya maandiko yangu yanaishi humu JF basi tutakuja kujadili hatuhitaji kubishana sana but nakuhakikishia ishu ya Military base haipo kabisa.
Kama wangetaka kujenga Military base kwenye majadiliano lazima wangekuwepo JWTZ Kama wadau lakini wakati wa majadiliano wadau wote wa mradi ni TPA Kama mdau mkuu, TRL, EWURA, Marine Services, Exim Bank China, Ubalozi wa Saudia, Wizara ya Uchukuzi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, Government Chief Valuer, EPZA na SEZ. Sasa where is JWTZ ambao ndio wadau wa military base???
Mambo mengine tunakaa kimya tu maana Magufuli alikuwa na ishu zake anazojua mwenyewe nisingependa kujadili hayo kwa sasa hayana maana uzuri wake majadiliano yameanza upya tunaanzia tulipoishia serikali imepitia na imeona hayo yote hayakuwepo.
Nachoweza kukuhakikishia ni kwamba mradi hauna hayo mnayoambiwa watu waliona hawajapata ganji yao na mkwere ndio aliusimamia ili watu wa jimboni kwake wafaidike nothing much.
Iko mizigo ya Mikoani kanda ya Kaskazini na kusini Malori hayawezi kukosa kazi.Nini baadhi ya malori yasipaki.
Napenda kukuhakikishia tena, Kuna watanzania wenye weledi mkubwa sana kwa sasa na wanapenda nchi iendelee mambo mengi ya kihuni yamepitwa na wakati hata wizi wa kijinga umepotea sababu watu walizoea kuiba kijinga kwa cash, sasa hivi hata rushwa ukila lazima mradi uende na kwa kiwango kilekile na kwa pesa ileile.Okey nimekuelewa boss.cha muhimu Tu wazingatie maslahi ya taifa kama mradi unafaa Acha uendelee Tu.