SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Endeleeni na hizo siri zenu na kuwaza maslahi ya nje kabla ya maslahi ya ndani

Kawaida ya kenge huwa hasikii mpaka damu zimtoke puani

Wewe umeuona mkuu?

kama ndio tueleze na sisi ila kama sio unalalamika nini kama hujui ?
 
Kwani kinacho fanya kusiwe ma mizigo ya tani mara mbili ya inayoletwa sasa hivi ni kwa sababu uduni wa usafiri !? Au Unataka kusema Hiyo bandari ya bagamoyo italeta wateja na watumiaji wapya mara mbili yake tofauti na hao waliopo sasa!??? Acheni kucheza na hisia za watanzania mbwa nyie.
 
Ujenzi wa SGR na Bandari kubwa vyote kwa pamoja vitaongeza idadi ya mizigo,
 
Faida ya kusafirisha mizigo ndani na nje ya Tanzania ni kubwa kuliko ile kupakua mizigo,

Wachina watapata nasisi tutapata pia,

Bandari hii mpya itakuwa yapili baada ya ile ya Durban SA,
Mapato ya bandali ni madogo kuliko usafirishaji kweli?,uwekeni mkataba wazi tuone kilichomo mwendazake alisema ni mwehu tu ndo anaweza kukubali masharti hayo,Kama mmekuwa wehu semeni.
 
Alikutajia hayo masharti?

Hata kama bandari ingekuwa ya Wachina bad kama Nchi tutapata faida tu
 
Vipi kwa mizingo inayoenda zambia itabebwa na SGR?
 
Malori hayatapaki kamwe sema itarahisisha usafirishaji wa mizigo kwa bei nafuu kwa mikoa ambayo reli inapita ila kwa mikoa mingine malori yataendelea kama kawaida,
 
Mikoa gani SGR haifiki mkuu Wangu?
Malori hayatapaki kamwe sema itarahisisha usafirishaji wa mizigo kwa bei nafuu kwa mikoa ambayo reli inapita ila kwa mikoa mingine malori yataendelea kama kawaida,
 
Sijawahi ona huo mkataba mimi ila naamini Rais wetu ni mtu mzalendo Sana,

So let's hope the best
Hata mwaka 2015 wakati wanataka kusaini mkataba wa gesi , walituaminisha maneno kama haya kuwa muarobaini wa tatizo la umeme, na uchomaji mkaa linaenda kufikia mwisho sasa, baada ya uchimbaji wa gesi kuanza, leo ni miaka 6, yako wapi?!!waliokuwa wakipinga ujenzi huo, walikuwa wakisema mabaya tu ya mradi huo, leo mnaoupigia chapuo, mnasema mazuri tu!!
 
Sasa kwa nini unapenda kupigia chapuo vitu ambavyo huvijui vizuri undani wake?,au uko kazini unasaka uteuzi?

Mimi ni data analyst tu,

Ninachofanya nikusema kitakachotokea hapo baadae,

Sasa mkataba unahusiana nini na nilichoandika hapa?
 
Hata mwaka 2015 wakati wanataka kusaini mkataba wa gesi , walituaminisha maneno kama haya kuwa muarobaini wa tatizo la umeme, na uchomaji mkaa linaenda kufikia mwisho sasa, baada ya uchimbaji wa gesi kuanza, leo ni miaka 6, yako wapi?!!waliokuwa wakipinga ujenzi huo, walikuwa wakisema mabaya tu ya mradi huo, leo mnaoupigia chapuo, mnasema mazuri tu!!
Wewe hujaona faida ya gesi kweli hadi leo?

Daaah, nchi ngumu sana hii
 
Back
Top Bottom