SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Bandari hii kila mmoja anasema lake.
Kuna wanaotoa dosari na mapungufu yake na wale wanaomwagia sifa mradi huu.
Hivi hakuna mzalendo mwenye uwezo kuvujisha mkataba ili tuusome!!?
 
===
SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 Tu,

Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori yote ya mizigo mnayoyaona hapa nchini yatalazimika kupaki
Umamaanisha siku zote mia 250 malori yatakuwa yanaangalia tu hiyo mizigo ikibebwa... Kuna fact moja ya kujiuliza... hiyo mizigo inayoingia bandarini inafika na kuondoka yote kwa wakat mmoja hadi kuwa na safari za kila siku za kubeba mizigo kwa SGR?

Pili, mabasi ya mwendokasi tangu yaingie dar.... ushawahi kuona costa au daladala zimekosa abiria zikaamua kupack..?

Tatu, mfano wa Kenya wana SGR na malori but kwanini serikali yao inawalazimisha wasafirishe mizigo kwa SGR badala ya malori... tumia akili

Nne, anayetumia lori anafaida ya kupeleka mzigo kwa mlengwa bila kuungaunga safari... itakuwa sawa kwa wanaoutumia SGR ? Haizekani, SGR ina njia yake hivo lzma uingie gharama kusafirsha mzigo wako kutoka station tena kwenda kwa mlengwa...

Mwisho, hatuwezi acha kununua ndege kwakuwa, mabasi yatakosa abiria... free market inapingana na mawazo yako. Jitahidi kuyatafuta maendeleo kwa maana huwezi acha kujenga kwa kuhofia babaako mwenye nyumba atakula wapi...NONSENSE KWA HISANI
 
Iko hivi,treni moja ya mizigo ya SGR inauwezo wa kubeba Jumla ya Tani elfu 10 karibu sawa na Malori 500 kwa Safari moja,

TRC ikiwa na Treni mbili tu za mizigo zinazopishana kwa kila siku basi tutasafirisha Jumla ya Tani elfu 20 kwa siku moja sawa na Malori 1,000....
Asilimia 75 ya mizigo ya bandari ya Dar inapita moro, Iringa, Mbeya Malawi, Zambia na Congo
 
Mkuu hata kama Bandari ingekuwa ya Wachina bado SGR ni yetu tutapiga pesa tu,
Hiyo bandari yenu mnayolazimisha ya huyo mchina wenu itaua bandari ya Dsm na kupelekea SGR isiwe na faida.
 
Bondi mnaweka nn maana isije kua km uganda na je tumejipanga kupunguza mi kodi ya ajabu ili nchi jirani warudi kutumia bandari zetu ...maana tunaweza kujenga hiyo bandari ya bagamoyo harafu sera zikawa mbovu ikawa hasara tu kwetu .Hili swala inatakiwa utulivu sana tukikurupuka itakua km maswala ya gas tuliambiwa kua gas ya mtwara ikiianza kuchimbwa swala la umeme litabaki history je mpaka sasa ina faida gani hata hatujui.
Umeme umefika mbali Sana mkuu ya matumizi ya Nyumbani Sasa bei imepanda
 
Naona umetumwa kuja kupima upepo, endeleeni tu nyie ndo mko kwenye usukani......
 
Sas unajengewa alfu unakuja Tena kusimamiwa na wachina Kam walivyofanya uganda na uwanj wao wa entebelee
 
Wewe hujaona faida ya gesi kweli hadi leo?

Daaah, nchi ngumu sana hii
Inshu sio kuona au kutoona!!lakini je ni kwa kiwango kile kama tulichokuwa tukiaminishwa wakati ule wanaipigia debe?!!kama hadi leo bomba la gesi linatumika kwa 6% tu!!hapo kweli kuna nini?bei za umeme ziko pale pale, tatizo la umeme liko pale pale, sasa wamehamia tena kwenye LNG!!!Ni kweli nchi hii ni ngumu sana!!!
 
Umamaanisha siku zote mia 250 malori yatakuwa yanaangalia tu hiyo mizigo ikibebwa... Kuna fact moja ya kujiuliza... hiyo mizigo inayoingia bandarini inafika na kuondoka yote kwa wakat mmoja hadi kuwa na safari za kila siku za kubeba mizigo kwa SGR?

Pili, mabasi ya mwendokasi tangu yaingie dar.... ushawahi kuona costa au daladala zimekosa abiria zikaamua kupack..?

Tatu, mfano wa Kenya wana SGR na malori but kwanini serikali yao inawalazimisha wasafirishe mizigo kwa SGR badala ya malori... tumia akili

Nne, anayetumia lori anafaida ya kupeleka mzigo kwa mlengwa bila kuungaunga safari... itakuwa sawa kwa wanaoutumia SGR ? Haizekani, SGR ina njia yake hivo lzma uingie gharama kusafirsha mzigo wako kutoka station tena kwenda kwa mlengwa...

Mwisho, hatuwezi acha kununua ndege kwakuwa, mabasi yatakosa abiria... free market inapingana na mawazo yako. Jitahidi kuyatafuta maendeleo kwa maana huwezi acha kujenga kwa kuhofia babaako mwenye nyumba atakula wapi...NONSENSE KWA HISANI
Mkuu naona hujui hata faida ya SGR, Utanipa shida sana kukuelekeza,

Rudia kusoma
 
Inshu sio kuona au kutoona!!lakini je ni kwa kiwango kile kama tulichokuwa tukiaminishwa wakati ule wanaipigia debe?!!kama hadi leo bomba la gesi linatumika kwa 6% tu!!hapo kweli kuna nini?bei za umeme ziko pale pale, tatizo la umeme liko pale pale, sasa wamehamia tena kwenye LNG!!!Ni kweli nchi hii ni ngumu sana!!!
Leo achana na gesi tuzungumzie Bandari YA Bagamoyo
 
Back
Top Bottom