CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #41
Endeleeni na hizo siri zenu na kuwaza maslahi ya nje kabla ya maslahi ya ndani
Kawaida ya kenge huwa hasikii mpaka damu zimtoke puani
Ujenzi wa SGR na Bandari kubwa vyote kwa pamoja vitaongeza idadi ya mizigo,Kwani kinacho fanya kusiwe ma mizigo ya tani mara mbili ya inayoletwa sasa hivi ni kwa sababu uduni wa usafiri !? Au Unataka kusema Hiyo bandari ya bagamoyo italeta wateja na watumiaji wapya mara mbili yake tofauti na hao waliopo sasa!??? Acheni kucheza na hisia za watanzania mbwa nyie.
Onaga aibu basi,Mkuu hata kama Bandari ingekuwa ya Wachina bado SGR ni yetu tutapiga pesa tu,
Mapato ya bandali ni madogo kuliko usafirishaji kweli?,uwekeni mkataba wazi tuone kilichomo mwendazake alisema ni mwehu tu ndo anaweza kukubali masharti hayo,Kama mmekuwa wehu semeni.Faida ya kusafirisha mizigo ndani na nje ya Tanzania ni kubwa kuliko ile kupakua mizigo,
Wachina watapata nasisi tutapata pia,
Bandari hii mpya itakuwa yapili baada ya ile ya Durban SA,
CHADEMA HUAMINI TU?Onaga aibu basi,
Alikutajia hayo masharti?Mapato ya bandali ni madogo kuliko usafirishaji kweli?,uwekeni mkataba wazi tuone kilichomo mwendazake alisema ni mwehu tu ndo anaweza kukubali masharti hayo,Kama mmekuwa wehu semeni.
TAZARA ipo,Vipi kwa mizingo inayoenda zambia itabebwa na SGR?
Tutapataje faida Kama tra hawaruhusiwi kufanya kazi bandalini?tutakuwa nchi ya kichekesho sanaAlikutajia hayo masharti?
Hata kama bandari ingekuwa ya Wachina bad kama Nchi tutapata faida tu
Akiweka nakunya toka Ubungo mpaka Fire mieSawa
Tuwekee na mkataba wa ujenzi wa hiyo Bandari ya Bagamoyo kabla ya yote
Mkataba wewe umeuona?Tutapataje faida Kama tra hawaruhusiwi kufanya kazi bandalini?tutakuwa nchi ya kichekesho sana
Malori hayatapaki kamwe sema itarahisisha usafirishaji wa mizigo kwa bei nafuu kwa mikoa ambayo reli inapita ila kwa mikoa mingine malori yataendelea kama kawaida,
Sasa kwa nini unapenda kupigia chapuo vitu ambavyo huvijui vizuri undani wake?,au uko kazini unasaka uteuzi?Mimi sina mkuu kama unao lete tuujadili hapa,
Mimi nimeonesha analysis yangu hali itakuwaje hapo baadae nimeishia hapo,
Hata mwaka 2015 wakati wanataka kusaini mkataba wa gesi , walituaminisha maneno kama haya kuwa muarobaini wa tatizo la umeme, na uchomaji mkaa linaenda kufikia mwisho sasa, baada ya uchimbaji wa gesi kuanza, leo ni miaka 6, yako wapi?!!waliokuwa wakipinga ujenzi huo, walikuwa wakisema mabaya tu ya mradi huo, leo mnaoupigia chapuo, mnasema mazuri tu!!Sijawahi ona huo mkataba mimi ila naamini Rais wetu ni mtu mzalendo Sana,
So let's hope the best
Na hii ndio hoja ya msingi sema watu hawaioniUna uhakika baada ya hiyo bandari kufunguliwa hii mizigo inayopitia bandari ya dar itaendelea kupitia hapo?
Sasa kwa nini unapenda kupigia chapuo vitu ambavyo huvijui vizuri undani wake?,au uko kazini unasaka uteuzi?
Wewe hujaona faida ya gesi kweli hadi leo?Hata mwaka 2015 wakati wanataka kusaini mkataba wa gesi , walituaminisha maneno kama haya kuwa muarobaini wa tatizo la umeme, na uchomaji mkaa linaenda kufikia mwisho sasa, baada ya uchimbaji wa gesi kuanza, leo ni miaka 6, yako wapi?!!waliokuwa wakipinga ujenzi huo, walikuwa wakisema mabaya tu ya mradi huo, leo mnaoupigia chapuo, mnasema mazuri tu!!