SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

CHADEMA hoja zimewaisha kabisa
Oyaa wewe K.enge/K.ima huna akili. Unaanzisha threads za kupima upepo kila baada ya dk 10 kutwa unasifia serikali ya Samia bila hata kutumia common sense. Kama unakiri hujaona mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuendelea kuupigia debe hapa ni zaidi ya kuwa MPUMBAVU, msiwaone watanzania ni wajinga sana.

Unatetea vitu usivyovijua, umetoa mfano ambao hauendani. Bora upigie debe bandari ya Bagamoyo bila kuhusisha SGR na maroli kidogo utaeleweka zaidi unajidhihirisha unavyopambania tumbo lako. ID yako inaonyesha ina kazi moja tu JF.. kutetea na kusifia chochote anachofanya Samia. Ila usisifie mpaka ujinga unaonekana MPUMBAVU tu.
 
kabla ya kuhitimisha tathmini yako jiulize kwa nini reli ya kati ilikufa kifo cha mende miaka ya 90 hadi leo? ni hivi , malori yatakuwepo na yatafanya kazi kama kawaidia.

Kwa kukusaidia tu ni kwamba hiyo SGR unayotamba nayo hapa kama ikibahatika kuisha basi itabeba watu wenu kuwapeleka mikoani.
 
Mmeanza Sasa kutuchota akili Kama kawaida yenu mkiona Mambo hayaendi wananchi hawaelewi mnaanza propaganda imishindikana mnaleta jeshi kabisa watupige na kutuvunja miguu ili tuamin kwel bandar ya bagamoyo inatija ***** zenu

Hilo garimoshi la kisasa tusubiri hasara TU kwa wenyemali maana kwa umeme huu walah litakuwa linadondoka kila siku barabaran


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nadharia yako ni ya kufikilika.
Malori yatafanya kazi Hata SGR ikiwepo, mizigo ya viwanda vya Bakhresa, MMI, Sita Steel na Alaf lazima na Kuna sehemu treni haifiki lazima maroli yatumike.

Kuna mizigo ukimwambia mtu atumie treni utampa cost mara 2. Mfano Ngano,Mbolea na mizigo mingine inayokuwa kichele (in Bulk) Mpaka sehemu ya kushusha.
 
Wachambuzi wa Tanzania bana....unashindwa kuelezea vizuri kwenye faida za hiyo reli kiuchumi, kisiasa na kijamii, lakini umekazana na point kuwa malori mengi yatapaki as if kupaki kwa malori na watu kukosa kazi nayo ni sifa pia!!!!!!!
 
Unahoja
Daaah sifa ziko wapi hapo?
 
Wachambuzi wa Tanzania bana....unashindwa kuelezea vizuri kwenye faida za hiyo reli kiuchumi, kisiasa na kijamii, lakini umekazana na point kuwa malori mengi yatapaki as if kupaki kwa malori na watu kukosa kazi nayo ni sifa pia!!!!!!!
Hilo Chambua wewe mkuu,
 
===
SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 Tu,

Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori yote ya mizigo mnayoyaona hapa nchini yatalazimika kupaki
Hiyo treni ya SGR itatumia UMEME kutoka vyanzo gani? Power bank!!
 
Sio mizigo yote inayoshuka bandarini itatumia SGR, inayoenda mikoa ya kusini na nchi kama Malawi,Zambia etc ambayo ni mingi haitumii SGR, na kwa serikali ya CCM sina uhakika kama wataiendesha hiyo reli vizuri, wataishia kuifunga tuu na kila siku engine zimeharibika au hakuna vipuri, hata sasa hivi reli iliyopo ingeweza kubeba mizigo mingi tuu lakini imekufa chini ya CCM, ni kama TANESCO tuu, dawa ni kuyaondoa haya mafisadi maiba kura ya CCM
 
Wana mnaupiga mwingi kutafuta justifications za Baga la Moyo! Mwana jengeni tu na mjitahidi ndani ya awamu ya sita iwe ishaisha kabisa kwa sababu kwa mfumo wa awamu awamu hizi atakayekuja hamjui atakuwaje.

Tanzania nchi ya kipuuzi sana, haina continuity kila kiongozi akija anakuja na lake haijalishi as long as hakuna national plan

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hawana utamaduni wa kufanya maintenance!! Wanadhani wakinunua kitu kipya kitakua hivyo hivyo kila siku!! Hata hizo Ndege za ATCL sidhani kama zinafanyiwa check zake kama inavyotakiwa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…