Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Nani kasema 25g kaka? Nimesema 25 T max, hairuhusiwi kubeba zaidi ya hapo lasivyo litapasuka katikati wakati wa kunyanyuliwa na crane ..
Hata Kiswahili hujui, Hakuna neno "Kweri kweri "Dah! Mama kweli ana kazi. Kama wewe ndio mtetea sera wake humu JF na hii ndio hoja uliyoleta ya kwanini Bandari ya Bagamoyo ijengwe, basi jua kabisa Mama ana kazi kweri kweri! Ndio maana wana CCM wengine kama mimi tumeamua kukaa kando kidogo na kusikilizia.
Mkataba uko vizuri sana aiseSawa
Tuwekee na mkataba wa ujenzi wa hiyo Bandari ya Bagamoyo kabla ya yote
SGR bado kufika huko,Sasa kwanini wasipanue ya Tanga wakati tayari kuna mafuta yanapita pale!, nafasi ipo na itakuwa bei nafuu sana sana. Yaani nachosema hapa serikali isidakie tu kama vile pesa ni ya bure au mizigo ya bandari ya Dar itabaki hivi hivi
Hii ni siri ya SerikaliSawa
Tuwekee na mkataba wa ujenzi wa hiyo Bandari ya Bagamoyo kabla ya yote
Ni siri kwa sasa ila baadaye mkishanyang'anywa Bandari yenu huwa haiwi siri tenaHii ni siri ya Serikali
Kweli wewe ni CCM au CCM MASALIA?Ni siri kwa sasa ila baadaye mkishanyang'anywa Bandari yenu huwa haiwi siri tena
Pole yakoKweli wewe ni CCM au CCM MASALIA?
pesa hakuna hiyo bandari wanataka kujenga wachinaTujenge tuu zote kama mahitaji yapo na pesa zipo
Save your breath.
SGR haitakamilika Leo Wala kesho.
Tuliambiwa kipande Cha Dar Moro kitakamilika November 2019.
Leo Ni November 2021 hata dalili hakuna.
Unategemea hao wenye malori watakubali malori yao ya paki?
Kwanza jiulize wenye hayo malori Ni kina Nani?
Siongelei Hawa wenye fuso au scania za kubebea ng'ombe, naongelea wenye malori 200 ++
DaaahSiyo mbaya
Ila inafaa iwe dakika 20 hivi au 30
Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika
March 23, 2020 Tanga, Tanzania NAIBU Waziri wa ujenzi, ametoa siku saba NAIBU Waziri wa ujenzi, ametoa siku saba kwa mkurugenzi wa shirika la reli, Masanja Kadogosa, kuunda tume maalum itakayochunguza chanzo cha ajali ya Kiberenge kugongwa na mabehewa yaliyotoroka. Source : Azam TVwww.jamiiforums.com
Mwanzisha uzi ndiyo huyuhuyu anajiita agggot tz, achana naye huyu mbwiga ukweli ni kwamba ni kheri kuboresha bandari ya dsm ambayo imeunganishwa na sgr kulipo kuanzisha huo mradi mmpya wa bagamoyoOna na wewe unashindwa tafakari, maloli yataendelea kuwepo na kuwepo mizigo ya bandari sio yote inaenda mahali pamoja hapana, MTU anacontena lake linaenda kondoa sgr inafika huko ndio maana hata sasa hivi sio kwamba reli ya kati au tazara zimezidiwa ila wateja wanataka urahisi zaidi na kukimbizana na soko
KaziiendeleeMwanzisha uzi ndiyo huyuhuyu anajiita agggot tz,
achana naye huyu mbwiga ukweli ni kwamba ni kheri kuboresha bandari ya dsm ambayo imeunganishwa na sgr kulipo kuanzisha huo mradi mmpya wa bagamoyo