Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Dah! Mama kweli ana kazi. Kama wewe ndio mtetea sera wake humu JF na hii ndio hoja uliyoleta ya kwanini Bandari ya Bagamoyo ijengwe, basi jua kabisa Mama ana kazi kweri kweri! Ndio maana wana CCM wengine kama mimi tumeamua kukaa kando kidogo na kusikilizia.