SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Dah! Mama kweli ana kazi. Kama wewe ndio mtetea sera wake humu JF na hii ndio hoja uliyoleta ya kwanini Bandari ya Bagamoyo ijengwe, basi jua kabisa Mama ana kazi kweri kweri! Ndio maana wana CCM wengine kama mimi tumeamua kukaa kando kidogo na kusikilizia.
 
Nani kasema 25g kaka? Nimesema 25 T max, hairuhusiwi kubeba zaidi ya hapo lasivyo litapasuka katikati wakati wa kunyanyuliwa na crane ..
photo_2021-11-30_11-18-15.jpg
 
Dah! Mama kweli ana kazi. Kama wewe ndio mtetea sera wake humu JF na hii ndio hoja uliyoleta ya kwanini Bandari ya Bagamoyo ijengwe, basi jua kabisa Mama ana kazi kweri kweri! Ndio maana wana CCM wengine kama mimi tumeamua kukaa kando kidogo na kusikilizia.
Hata Kiswahili hujui, Hakuna neno "Kweri kweri "


Kazi anazofanya mama hahitaji Promo anahitaji kuzitambulisha tu,

#KAZIIENDELEE
 
SGR itabeba sawa , lakini itapeleka mpaka wapi ? teteeni hoja zenu kwa haki acheni utapeli , Hivi SGR yenu imefika Mbeya ?
 
Kumbuka 75% ya wanaomiliki hayo malori ni wanaccm.

Kwahiyo usije uliza hilo swali ukaliona kubwa na gumu ila wao ccm hawashindwi kitu.

Aliondoka magufuli sembuse hiyo reli?

Muda ni rafiki wa kweli
 
Trucks are here to stay.

Mleta mada umeweka mahaba yako mbele na kushindwa kuichambua mada kilogistiki.

Kwamba mizigo itoke tu kwenye meli halafu kwenye SGR, halafu? SGR inaifikia mikoa mingapi? Mizigo ya transit?

Multimodal transportation haiepukiki.
 
Sasa kwanini wasipanue ya Tanga wakati tayari kuna mafuta yanapita pale!, nafasi ipo na itakuwa bei nafuu sana sana. Yaani nachosema hapa serikali isidakie tu kama vile pesa ni ya bure au mizigo ya bandari ya Dar itabaki hivi hivi
SGR bado kufika huko,
 
Kweli wewe ni CCM au CCM MASALIA?
Pole yako

Mimi siwezi kuandika au kutetea upumbavu kama unavyofanya wewe kila siku

Mimi ni ccm na nitakufa nikiwa ccm hata ccm ikitolewa madarakani bado nitabaki kuwa ccm ila tu siwezi kutetea upumbavu

Tunayo Bandari ya Dar Es Salaam tayari inafanya kazi

Wewe unaenda kumuua JPM halafu unaamsha ujenzi wa Bagamoyo, ni upumbavu
 
Save your breath.
SGR haitakamilika Leo Wala kesho.
Tuliambiwa kipande Cha Dar Moro kitakamilika November 2019.
Leo Ni November 2021 hata dalili hakuna.
Unategemea hao wenye malori watakubali malori yao ya paki?
Kwanza jiulize wenye hayo malori Ni kina Nani?
Siongelei Hawa wenye fuso au scania za kubebea ng'ombe, naongelea wenye malori 200 ++

 
Ona na wewe unashindwa tafakari, maloli yataendelea kuwepo na kuwepo mizigo ya bandari sio yote inaenda mahali pamoja hapana, MTU anacontena lake linaenda kondoa sgr inafika huko ndio maana hata sasa hivi sio kwamba reli ya kati au tazara zimezidiwa ila wateja wanataka urahisi zaidi na kukimbizana na soko
Mwanzisha uzi ndiyo huyuhuyu anajiita agggot tz, achana naye huyu mbwiga ukweli ni kwamba ni kheri kuboresha bandari ya dsm ambayo imeunganishwa na sgr kulipo kuanzisha huo mradi mmpya wa bagamoyo
 
Mwanzisha uzi ndiyo huyuhuyu anajiita agggot tz,
achana naye huyu mbwiga ukweli ni kwamba ni kheri kuboresha bandari ya dsm ambayo imeunganishwa na sgr kulipo kuanzisha huo mradi mmpya wa bagamoyo
Kaziiendelee
 
Back
Top Bottom