SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

ni sawa na kutoa pesa mfuko wa mbele kuwewka mfuko wa nyuma maana wamiliki ndo haohao au mnasemaje
 
Bado tuna ulimbukeni katika masuala ya usafiri. Nchi za wenzetu transport zote zinafanya kazi kwa pamoja bila kuathiriana. Tanzania itafikia huko pia. Sidhani kama SGR kweli itaathiri usafiri wa mabasi kama wengi wanavyoeleza.
 
Huko magharibi SGR ndio inaelekea, si ajabu mwakani ikakamilika ya dar moro dodoma tabora
Lakini uhitaji wa huduma ya mabasi na maroli sehemu reli isikofika hatuwezi kufutika kamwe. Mfano; wasafiri wakiishafika Kigoma watahitaji kusafiri kwenda Kasulu, Kibondo, Mpanda, Sumbawanga, Kakonko, Bihalamro etc ... Ambapo hakuna reli na barabara ni lami tupu.
 
Mbona kama alikuwa na root nyingine kama
Dar-Bukoba-Karagwe
Dar-Mwanza?
 
Kwammba mtu asafiri masaa 8 kwa basi badala ya masaa ma4 kwa Treni? Ili iweje..
Bei ya tiketi ni kubwa ukilinganisha na nauli ya bus maana yake watakaokuwa wanapanda ni wale wenye dharula tu za haraka,kwa mtu asiye na dharula hata akichelewa kufika kwa bus hana presha
 
Wasiwasi wangu ni ktk kufubaa kwa huduma,si ktk kulizoea train.
Ukiangalia hata mwendokasi BRT kinachoihujumu ni huduma za kipuuzi zilizoletwa na mazoea,abiria wanakimbia.

Kama wataendelea na huduma bora,haraka na uhakika basi hakuna atakayelichoka.
hiyo pia ni sababu mojawapo,maana yake sasa hivi kwa vile lipo kwenye uzinduzi kila kitu ni kipya,huduma safi ila baada ya mwaka kila kitu kitakuwa shaghalabaghala
 
Sio kila mtu anasafiri saa 12 asubuhi kuna wengine anasafiri saa 2,3,4 ambapo huo usafiri wa treni haupo...pia kuna wanaoshuka njiani chalinze,msolwa, ubena zomozi, mdaula, bwawani, mikese,maseyu ,fulwe,mkambarani, kingolwira, nanenane hawawezi kupanda hilo treni lenu.
 
Si nasikia wamekataza kupanda na mashangazi kaja.!?
Hapo lazima bus zitaendelea kubeba raia
 
Bei ya tiketi ni kubwa ukilinganisha na nauli ya bus maana yake watakaokuwa wanapanda ni wale wenye dharula tu za haraka,kwa mtu asiye na dharula hata akichelewa kufika kwa bus hana presha
Morogoro bei ya chini kwa SGR ni kiasi gani na kwa basi ni kiasi gani?, hali kadhalika kwa Dodoma, ratio ipoje?
 
Hata mm nashangaa, hapo tegemea mass adoption,
Watu watatumia sana SGR badala ya mabus,
SGR kikubwa waongeze safari , waweke na route ya wazee wa popo,
Treni itoke dar saa 8 usiku saa 12 asubuhi iwe Dom
Yeah, hata kwa behewa walau chache sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…