and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Mda wake ulikuwa badoUkitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Hakika Tutafika tumechoka.
hua watu wanazinunua alafu wanaziuza kwa faida kwa wenye haraka ivo unatakiwa ukate mapemaUkitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
naomba huo mtandao wa kulipia tiketiUkitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Mbinu hiyo.hua watu wanazinunua alafu wanaziuza kwa faida kwa wenye haraka ivo unatakiwa ukate mapema
naomba huo mtandao wa kulipia tiketi
Ccm mbele kwa mbeleUkitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Hii nchi imeshindikana sasa!!!Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Okay. Ngoja TUTIKIHizo ni fursa tu
Mtu ananua tiketi zote halafu anachuuza dirishani
Dawa yake ilitakiwa ziwe treni kama nane hivi zote zinaondoka kwa kufuatana kingewaka
Biashara hiyo mbona ni kama ya mazao nyie wajanja mnakuja kutuchuuza Bush huko mnaenda kuuza kinondoni supermarket kwa bei hata mara tano zaidi ya mlivyonunua
Wanakula kwa urefu wa kamba zaoUkitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
same way hata kwenye mabasiya mikoani haswa misimu ya skukuu watu hununua tiketi alafu utazinunua kwa bei kubwa ukiwa na haraka! huezi mlaumu mtu anafanya biashara na hajamzulumu mtuMbinu hiyo.
Umefumbua akilisame way hata kwenye mabasiya mikoani haswa misimu ya skukuu watu hununua tiketi alafu utazinunua kwa bei kubwa ukiwa na haraka! huezi mlaumu mtu anafanya biashara na hajamzulumu mtu
cha muhimu we nununua mapema, hata wao wasipopata wateja anapata hasaraUmefumbua akili
Acha ushamba nenda kafanye siasa jukwaani, mmeshindwa huko mnadandia kila post, bwege kweliKwa nini unapenda kuipigia kura ccm?
Achaneni na zimwi hili Watanzania