stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
sjasema nasupport, unataka serikali iunde tume ya kuwalipa mishara kwa ajili ya kukagua mtu alieingiza buku 5?Ana leseni ya hiyo unaita biashara, analipa kodi..
sjasema nasupport, unataka serikali iunde tume ya kuwalipa mishara kwa ajili ya kukagua mtu alieingiza buku 5?Ana leseni ya hiyo unaita biashara, analipa kodi..
Kwasababu maoni uliotoa ndio huwa inafanyika hivyo. Ndio maana nikatamani kufahamu uzoefu wako wa kutumia SGR.I can't lie hata kupanda,naona tabu,nachukuaga tu,shabiby langu 35,000/- natua dom,stand za shabiby!
Kwanini wasubcontract wakati so far so good? Mtu atakata ticket yake online bila kuhitaji kwenda station? Hauoni kusubcontract itakuwa biashara kichaa?..kuna shida gani ku-sub contract ukatishaji wa ticket na huduma zingine zote kwa SGR..vinywaji, chakula, mapokezi, ulinzi, wahudumu..nini shida? Bado ndani ya serikali kuna watu wanadhani serikali inaweza kufanya biashara ikafanikiwa? Labda punguani ndio bado anaamini hivyo.