Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Kazi ya ccm hyo
Umezoea mfumo nyonyaji sana pengine ni kuanzia kwenye familia hata mambo ya hovyo unaona sawa tu.kwan ungekata mapema usingepata? ama mwanaume unalalamikaje vitu vidogo kama hivo
kama hukubaliana na bei anayokupa si unaachana nayo unapanda magari ama chukua ndegeUmezoea mfumo nyonyaji sana pengine ni kuanzia kwenye familia hata mambo ya hovyo unaona sawa tu.
Wewe ni CCM? Mbona unachukia haki sana?kama hukubaliana na bei anayokupa si unaachana nayo unapanda magari ama chukua ndege
we nae buku 5 ni kitu cha kuja kulia mtandaoni?Wewe ni CCM? Mbona unachukia haki sana?
Nadhani upo kwenye mtandao wa wizi wa haki za watanzania, ningepata wasaa ningekudaka na kukufikisha panapotakiwa kisheria nyie ndio mnarudisha nyuma taifa hili.we nae buku 5 ni kitu cha kuja kulia mtandaoni?
Kigogo chadema afungua kesi kushtaki buku 5 ya dalili 🤣 🤣 , yaani badala uje na mada watu wanaoiba mabilioni ambayo mtu akinyanganywa yanaweza kutumika unamkunjia moyo mwananch wa chini anaejipatia buku 5 🤣🤣Nadhani upo kwenye mtandao wa wizi wa haki za watanzania, ningepata wasaa ningekudaka na kukufikisha panapotakiwa kisheria nyie ndio mnarudisha nyuma taifa hili.
Kabisa nchii hii hakuna mahali ambapo pako safi upuuzi na upigaji haupo.. ila unavyosema eti we need somebody una maana gani?Kwa vile tu uko huko mkuu, hakuna mahala katika nchi hii mambo yako shwari. Nchi imeoza kila pembe watu wanajipimia kwa size zao na bado hakuna anayejari, frankly speaking we need somebody
Hii kitu mbaya sanaUkitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Wizi ni wiziKigogo chadema afungua kesi kushtaki buku 5 ya dalili 🤣 🤣 , yaani badala uje na mada watu wanaoiba mabilioni ambayo mtu akinyanganywa yanaweza kutumika unamkunjia moyo mwananch wa chini anaejipatia buku 5 🤣🤣
wapigaji ni raia siyo vyamaKabisa nchii hii hakuna mahali ambapo pako safi upuuzi na upigaji haupo.. ila unavyosema eti we need somebody una maana gani?
akipatikana mtu wa kukomesha upuuzi kama huu si ndio wabongo wanamchukia na hata kumuombea kifo au? Na ikitokea amekufa wanafanya sherehe kabisa.
Mimi naona mpaka hapa tayari tumeshapotea, cha kufanya hapa ni wabongo kuungana na CDM kukomaa katiba mpya ipatikane ambayo ndio itakuwa mwarobaini wa matatizo yote haya.
Yaani mtu kama anaweka mabendera ya ccm kwenye avatar yake wewe unategemea atakuwa na akili zinazofanya kazi kweli?Nadhani upo kwenye mtandao wa wizi wa haki za watanzania, ningepata wasaa ningekudaka na kukufikisha panapotakiwa kisheria nyie ndio mnarudisha nyuma taifa hili.
Jibu lako ni jepesi ambalo linaonesha hujafanya tafakari yoyote zaidi ya kutaka kuitetea ccm yako.Wizi ni wizi
wapigaji ni raia siyo vyama
Pole yetu sote, mTanzania mwenzangu.Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Sio rahisi hiyo kufanyika.hua watu wanazinunua alafu wanaziuza kwa faida kwa wenye haraka ivo unatakiwa ukate mapema
Umeshawahi kukata tiket ya SGR na ukasafiri?hujawahi kununua tiketi ya basi kwa bei kubwa kipindi cha skukuu?
Wewe umewehuka. Na ni jambo moja tu linalokufanya uwe chizi.Acha ushamba nenda kafanye siasa jukwaani, mmeshindwa huko mnadandia kila post, bwege kweli
yesUmeshawahi kukata tiket ya SGR na ukasafiri?
45 min uwe umelipia. Which is reasonable time.Kama mfumo unaruhusu mtu kuweka booking kwa muda mrefu basi kuna changamoto, inapaswa pawe na limit ya muda ambao booking yako inakua inahesabika, mfano ni mifumo mingi ya mabasi inatoa dakika 15 tu za kulipia baada ya kuweka booking.
Kama tiketi zinakua zimelipiwa ili wapate chajuu basi hapo shirika halipotezi kitu, lakini kama zinashikiliwa bila malipo hilo ni tatizo kubwa sana.
Sawa. Kwa hiyo ukaona kabisa unaweza kukata tiketi kumi na ukaenda stesheni kuziuza.