SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

Wakomeshe hili linampa mzigo MTANZANIA wa kawaida, wakati abiria anaingia ndani ya treni,tiketi aliyokata ilipaswa iwe inasoma jina lake halisi,kwa series za number ametumiwa,katika check -in.
ilikuaga ivo mwanzon ila watu ni wengi na treni inatakiwa kwenda na mda ili ifike mapema ile sehem ya kupishana na treni ingine, overall wewe book mapema maisha hayopo laini kama unavotaka
 
Mkuu ni rahisi sana kumdanganya Mtanzania. Imagine link ya kufanya booking iko online na ticket zipo (hata kesho royal ina siti baadhi) jumatatu asubuhi imejaa (watu wanarudi makazini dom au moro) lakini baadaye kuna siti kwenye baadhi ya route - jumanne na kuendelea siti zipo za kumwaga... lakini mtu hatacheki kwanza, atacomment hapa kukandia bila hata kufactcheck na vitu viko online. Inashangaza kidogo
ndo vijana wetu
 
MAZINGIRA YA RUSHWA KILA UPANDE AIBU SANA!,..( TIKETI ZITENGENEZEWE CONTROL NUMBER MAALUM) NAMFUMO AMBAO UTARUHUSU MTU KUKATA TIKETI YAKE KWA SMART PHONE YAKE,NA PIA AKAWEZA KUCHAGUA SITI APENDAYO,MBONA MAMBO MARAHISI SANA HAYA.
(-TRC PASSENGERS TICKETING APP-)
-#WAZIRI HUSIKA
-#MKURUGENZI TRC
-#TEHAMA TRC
-#ASAP....
Umeshawahi kukata tiketi ya SGR hii?
 
vitu vingine ni wewe tu kutumia akili usiweke siasa kwenye kila kitu
Hapo ndipo wahujumu wa nchi yetu wanapapenda,.. "acha watu wale kwa urefu wa kamba zao wewe inakuuma nini?"... Wewe unaona sawa tu watu kuhodhi ticheti za SGR na kuziuza kwa bei tofauti na iliyopangwa na serikali, upo sawa wewe?
 
kwan ungekata mapema usingepata? ama mwanaume unalalamikaje vitu vidogo kama hivo
 
hua watu wanazinunua alafu wanaziuza kwa faida kwa wenye haraka ivo unatakiwa ukate mapema
Kwahiyo zile nafasi ambazo mabehewa huwa hayana watu ni kwamba walionunua tiketi hawakupata wateja na shirika limeuza zote ila mnunuzi ndo kapata hasara maana hakuuza?
 
Sasa hivi vyuo vimefungwa (UDOM)na vingine Sasa tangia Jana Bus za SATCO na zingine online ticket zote zimeuzwa Hadi juma tatu. Jamaa nikamwambia nenda NaneNane akaenda ilikua ni Jana ijumaa akaikuta Bus kampuni ya SATCO Imepack na kuna jamaa yupo mlangoni akauliza usafiri akamwambia elfu 70 kwenda Mwanza kama unawezalipia nikupatie tiketi. Jamaa akachoka nauli Halidi ni elfu 45-50.

Wakabagaini Hadi elfu 55..,akalipia kasubilia jioni ila aliambiwa kupandia ni hapa hapa NaneNane ukisema ukapandie CBE au 4WAYS itakula kwako utakuta bus imejaa.
 
Kwahiyo zile nafasi ambazo mabehewa huwa hayana watu ni kwamba walionunua tiketi hawakupata wateja na shirika limeuza zote ila mnunuzi ndo kapata hasara maana hakuuza?
tusiwalaumu sana mtu kaona fursa ni bora zaidi na angeenda kuiba kwenye biashara ya mtu! its inconvenient ila biashara popote iimradi usimdhuru mtu
 
Sasa hivi vyuo vimefungwa (UDOM)na vingine Sasa tangia Jana Bus za SATCO na zingine online ticket zote zimeuzwa Hadi juma tatu. Jamaa nikamwambia nenda NaneNane akaenda ilikua ni Jana ijumaa akaikuta Bus kampuni ya SATCO Imepack na kuna jamaa yupo mlangoni akauliza usafiri akamwambia elfu 70 kwenda Mwanza kama unawezalipia nikupatie tiketi. Jamaa akachoka nauli Halidi ni elfu 45-50.

Wakabagaini Hadi elfu 55..,akalipia kasubilia jioni ila aliambiwa kupandia ni hapa hapa NaneNane ukisema ukapandie CBE au 4WAYS itakula kwako utakuta bus imejaa.
ni kwel kabisa, watu wanalalamika sana vitu vidogo
 
Pamoja na kuwa ni biashara..lkn ni huduma, kutoa huduma kuna masharti yake, mfano huhitaji dalali(mtu wa kati) kwenye kutoa huduma..huyo anayenunua zote halafu si msafiri kwa lengo la kuuza tena ni dalali..si sahihi.
Halafu ananunuaje zote anatumia kitambulisho gani? Pale getini unaonesha kitambulisho na tiketi sasa tofauti ya majina haina maana tena pale?
 
tusiwalaumu sana mtu kaona fursa ni bora zaidi na angeenda kuiba kwenye biashara ya mtu! its inconvenient ila biashara popote iimradi usimdhuru mtu
Sasa biashara gani ununue tiketi 100 uuze nusu yake? Hakuna anayefanya hiyo biashara. Ni kwamba wakatisha tiketi wapo radhi train liende tupu kama hawapati mtu wa kuwapa rushwa.
 
Sasa biashara gani ununue tiketi 100 uuze nusu yake? Hakuna anayefanya hiyo biashara. Ni kwamba wakatisha tiketi wapo radhi train liende tupu kama hawapati mtu wa kuwapa rushwa.
ushawahi safiri na sgr kuanzia alhamisi mpaka jumapili, uliona kokote siti empty? na iki kipindi cha sabasaba umechngulia kule?
 
Sasa biashara gani ununue tiketi 100 uuze nusu yake? Hakuna anayefanya hiyo biashara. Ni kwamba wakatisha tiketi wapo radhi train liende tupu kama hawapati mtu wa kuwapa rushwa.
hujawahi kuona mabasi ya mkoani yanapiga ruti ikiwa haijajaa ata nusu? unadhan hio hasara analipia nan, au hujwahi kufanya biashara before?
 
Back
Top Bottom