Pamoja na kuwa ni biashara..lkn ni huduma, kutoa huduma kuna masharti yake, mfano huhitaji dalali(mtu wa kati) kwenye kutoa huduma..huyo anayenunua zote halafu si msafiri kwa lengo la kuuza tena ni dalali..si sahihi.same way hata kwenye mabasiya mikoani haswa misimu ya skukuu watu hununua tiketi alafu utazinunua kwa bei kubwa ukiwa na haraka! huezi mlaumu mtu anafanya biashara na hajamzulumu mtu