hua watu wanazinunua alafu wanaziuza kwa faida kwa wenye haraka ivo unatakiwa ukate mapema
Ntaenda nikafanye survey.cha muhimu we nununua mapema, hata wao wasipopata wateja anapata hasara
Yawezekana,maana ni risk sana,unaweza ukanunua halafu ukakosa wateja,ukapata hasaraSio kweli. Wanafanya biashara ambayo haina uhakika wa wateja?
Mara nyingi ni inside job
Kama ni inside job,yawezekana online inaonekana imejaa,ila baadhi ya mabehewa yatakua yanaenda yakiwa pungufu.Kama mfumo unaruhusu mtu kuweka booking kwa muda mrefu basi kuna changamoto, inapaswa pawe na limit ya muda ambao booking yako inakua inahesabika, mfano ni mifumo mingi ya mabasi inatoa dakika 15 tu za kulipia baada ya kuweka booking.
Kama tiketi zinakua zimelipiwa ili wapate chajuu basi hapo shirika halipotezi kitu, lakini kama zinashikiliwa bila malipo hilo ni tatizo kubwa sana.
MBUPU.............treni 8 hizo kwa njia ngapi???Hizo ni fursa tu
Mtu ananua tiketi zote halafu anachuuza dirishani
Dawa yake ilitakiwa ziwe treni kama nane hivi zote zinaondoka kwa kufuatana kingewaka
Biashara hiyo mbona ni kama ya mazao nyie wajanja mnakuja kutuchuuza Bush huko mnaenda kuuza kinondoni supermarket kwa bei hata mara tano zaidi ya mlivyonunua
Nawaza pia kama zingekua zimeshalipiwa kwa majina ya hao walionunua mwanzo, ingemlazimu mtu kupewa tiketi yenye jina la mtu mwingine.Kama ni inside job,yawezekana online inaonekana imejaa,ila baadhi ya mabehewa yatakua yanaenda yakiwa pungufu.
Wakomeshe hili linampa mzigo MTANZANIA wa kawaida, wakati abiria anaingia ndani ya treni,tiketi aliyokata ilipaswa iwe inasoma jina lake halisi,kwa series za number ametumiwa,katika check -in.same way hata kwenye mabasiya mikoani haswa misimu ya skukuu watu hununua tiketi alafu utazinunua kwa bei kubwa ukiwa na haraka! huezi mlaumu mtu anafanya biashara na hajamzulumu mtu
Mleta uzi ameamuaKama mfumo unaruhusu mtu kuweka booking kwa muda mrefu basi kuna changamoto, inapaswa pawe na limit ya muda ambao booking yako inakua inahesabika, mfano ni mifumo mingi ya mabasi inatoa dakika 15 tu za kulipia baada ya kuweka booking.
Kama tiketi zinakua zimelipiwa ili wapate chajuu basi hapo shirika halipotezi kitu, lakini kama zinashikiliwa bila malipo hilo ni tatizo kubwa sana.
mkuu,Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Dar moro Royal ni 50000 - dar dom ni 120k (hii kwa ile yenye kichwa mchongoko)kweli wanazingua sana mie jumatano niltaka tiket ya Moro Dar ( Royal Class) inasema Bei ni 50,500 wakati nimeenda MORO kwa same class for 35500
Zikinunuliwa zote kwa mtindo huo wa kuhodhi na kulangua halafu watu wanakwenda mtandaoni wapo mbali kabisa na Dar, Moro au Dodoma wanataka kupangilia ratiba zao za kusafiri unafikiri mambo yatakuwa vipi sheikhe?huezi, izo ni biashara kama biashara zingine! yeye akinunua asipopata mteja wewe kama serikali bado utakua umepata mapato
Mkuu, hiyo ya TZS 50k ni EMU aka Mchongoko. Ndio bei yakekweli wanazingua sana mie jumatano niltaka tiket ya Moro Dar ( Royal Class) inasema Bei ni 50,500 wakati nimeenda MORO kwa same class for 35500
Nakuunga mkono mkuu.Mleta uzi ameamua
mkuu,
Ukiingia kwenye website yo, Mbona Dar moro kesho royal ina nafasi? Keshokutwa ticketi bado zipo kwa baadhi ya route na siku inayofutia kila route bado ina situ zaidi 700?
Hii hadi tarehe 18 kuwa zimejaa/zimelanguliwa umeitoa wapi??? Factcheck kwanza..
still bado ulitakiwa ufanye mapema, hio ni biashara pia! unatafuta nyumba ya kupanga unapewa ila at a cost mfano mwezi mmoja wa dalali, ndo maisha yako ivoZikinunuliwa zote kwa mtindo huo wa kuhodhi na kulangua halafu watu wanakwenda mtandaoni wapo mbali kabisa na Dar, Moro au Dodoma wanataka kupangilia ratiba zao za kusafiri unafikiri mambo yatakuwa vipi sheikhe?
Mkuu ni rahisi sana kumdanganya Mtanzania. Imagine link ya kufanya booking iko online na ticket zipo (hata kesho royal ina siti baadhi) jumatatu asubuhi imejaa (watu wanarudi makazini dom au moro) lakini baadaye kuna siti kwenye baadhi ya route - jumanne na kuendelea siti zipo za kumwaga... lakini mtu hatacheki kwanza, atacomment hapa kukandia bila hata kufactcheck na vitu viko online. Inashangaza kidogoNakuunga mkono mkuu.
Bila shaka unanufaika binafsi na udalali huu.still bado ulitakiwa ufanye mapema, hio ni biashara pia! unatafuta nyumba ya kupanga unapewa ila at a cost mfano mwezi mmoja wa dalali, ndo maisha yako ivo