SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

Labda utueleze kwanza ni kipi kimewahi kufanyika kwa uhakika hata kama nikizuri na masisiemu? Kama waliua mwendokasi watashindwaje kuua SGR?

No reform No Election
 
Nchi yangu Tanzania, jina zurii ukiingia ni kama chumba cha mganga wa Jadi
 
Kwanini wasubcontract wakati so far so good? Mtu atakata ticket yake online bila kuhitaji kwenda station? Hauoni kusubcontract itakuwa biashara kichaa?

Mfano mini nina ticketi yangu ya jumatano nilibook juzi - online, nimelipa na all is well.

Kama mtu hana ticket na online zinaonesha zimeisha kwanini aende station?? Kufanya nini??? Kwanini usishike basi uendelee na maisha? Muda mwingine watanzania tunapenda kuibiwa na tukiibiwa tunalalamika.

Kuna vitu haviingii akilini, kwamba dalali anunue siti 200 halafu watu 200 waende station ya JPM wapate seats from there??? Kwa kweli wanyonge tuwanyonge ila kwenye hilo la SGR tuwape maua... so far so good, labda kwa kuwa tumezoea mambo ya hovyo hovyo nchini, vitu vikiendeshwa vizuri tunalalamika ili viendeshwe vibaya tuseme...
 
Watumishi wote wanaohusika na hii hujuma watimuliwe kazi ili akili ziwakae

Hii ni hujuma kubwa Sana kwa Taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…