Kuweka vituo vya Pugu,Msoga na Ngerengere sio kosa mkuu.Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe? TRC inaelewa kweli inachokifanya?
Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria wa Dar kwenda Morogoro na Dodoma kwanza, waondoe kituo cha Pugu na wanaoenda vitu vya karibu kama Soga na Ruvu wakate tiketi masaa mawili kabla treni kuondoka, vinginevyo hizi taarifa za kwamba SGR inajaza sana itakuwa ni mbwembwe tu zisizo na mashiko.
View attachment 3071393
Huo usumbufu sasa wa kukaguana kaguana🙆🙆🙆Kuweka vituo vya Pugu,Msoga na Ngerengere sio kosa mkuu.
Ila kama ni hivyo itatakiwa uwepo ukaguzi wa tiketi kama ilivyo kwenye metre gauge.
Maana kwenye metre gauge huwa kila baada ya muda kituo kikifika tiketi inakaguliwa na kama tiketi huna ama umevuka kituo unachajiwa pesa.
Haina namna itabidi iwe hivyo.
Kwasababu wapo wanaopandia Pugu ambao ni wakaazi wa Gongo la mboto,ukisema ukitoe itakua mtihani.
Japo suala la kukagua tiketi kila mara nalo kidogo laweza likaleta discomfort fulani ila lifanyike kiustaarabu tu,kila behewa moja mkaguzi mmoja anatosha,na zikaguliwe kila baada ya kuvuka kituo kimoja.
Mh sasa hiyo nayo kusema wa njiani na behewa lao mtawapa kazi watoa huduma.Huo usumbufu sasa wa kukaguana kaguana🙆🙆🙆
Wa njiani wawe na bebewa lao, wakaguliwe huko.
Ni rahisi katika ukaguzi abiria wa kituo kimoja wakiwa katika mabewaha yao maalumuMh sasa hiyo nayo kusema wa njiani na behewa lao mtawapa kazi watoa huduma.
Kama mkaguzi akiwa mmoja mbona sio usumbufu dada!?
Ikifanyika hivi walau hata wiki moja au mwezi italeta hofu watu hawatakua wakifanya huo ubadhilifu tena wakihofia kukaguliwa.
Sasa watoa huduma si ndilo jukumu lao waliloajiriwa kwalo!! Kwahiyo ni bora kumsumbua abiria kila baada ya kituo, "naomba tiketi yako"!!!Mh sasa hiyo nayo kusema wa njiani na behewa lao mtawapa kazi watoa huduma.
Kama mkaguzi akiwa mmoja mbona sio usumbufu dada!?
Ikifanyika hivi walau hata wiki moja au mwezi italeta hofu watu hawatakua wakifanya huo ubadhilifu tena wakihofia kukaguliwa.
Nulivyomuelewa ntoa mada,kituo cha ougu kwa treni toka dar abiria waeuhusiwe kupanda tu sio kushuka,unapandahe SGR ushukie pugu,??Kuweka vituo vya Pugu,Msoga na Ngerengere sio kosa mkuu.
Ila kama ni hivyo itatakiwa uwepo ukaguzi wa tiketi kama ilivyo kwenye metre gauge.
Maana kwenye metre gauge huwa kila baada ya muda kituo kikifika tiketi inakaguliwa na kama tiketi huna ama umevuka kituo unachajiwa pesa.
Haina namna itabidi iwe hivyo.
Kwasababu wapo wanaopandia Pugu ambao ni wakaazi wa Gongo la mboto,ukisema ukitoe itakua mtihani.
Japo suala la kukagua tiketi kila mara nalo kidogo laweza likaleta discomfort fulani ila lifanyike kiustaarabu tu,kila behewa moja mkaguzi mmoja anatosha,na zikaguliwe kila baada ya kuvuka kituo kimoja.
Basi hilo lifanyike litakua jambo zuri,maana tusileteane upotevu wa mapato.Ni rahisi katika ukaguzi abiria wa kituo kimoja wakiwa katika mabewaha yao maalumu
Sahihi kwa Dar kituo cha Pugu iwe ni kupanda tu na kushuka kwa abiria wanaotoka Dodoma na Morogoro, sio kupakia Abiria kutoka Dar kwenda Pugu, pugu kwenda soga, soga ruvu n.k Kifupi hizo ruti fupi za daladala na treni ya Mwakyembe wangeziondoa, ruti zianzie hiyo ya kati ya 9,000 na ndefu tu.Nulivyomuelewa ntoa mada,kituo cha ougu kwa treni toka dar abiria waeuhusiwe kupanda tu sio kushuka,unapandahe SGR ushukie pugu,??
Waondoe tu hizo ruti fupi za daladala kwa sasa, wajikite kwenye ruti za kati na ndefu ili kuondoa vurugu zisizo za lazima.Kuweka vituo vya Pugu,Msoga na Ngerengere sio kosa mkuu.
Ila kama ni hivyo itatakiwa uwepo ukaguzi wa tiketi kama ilivyo kwenye metre gauge.
Maana kwenye metre gauge huwa kila baada ya muda kituo kikifika tiketi inakaguliwa na kama tiketi huna ama umevuka kituo unachajiwa pesa.
Haina namna itabidi iwe hivyo.
Kwasababu wapo wanaopandia Pugu ambao ni wakaazi wa Gongo la mboto,ukisema ukitoe itakua mtihani.
Japo suala la kukagua tiketi kila mara nalo kidogo laweza likaleta discomfort fulani ila lifanyike kiustaarabu tu,kila behewa moja mkaguzi mmoja anatosha,na zikaguliwe kila baada ya kuvuka kituo kimoja.
Basi waeke taratibu za Pugu kiwe kituo cha kupandia wakati wa kwenda.Waondoe tu hizo ruti fupi za daladala kwa sasa, wajikite kwenye ruti za kati na ndefu ili kuondoa vurugu zisizo za lazima.
TissHii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe? TRC inaelewa kweli inachokifanya?
Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria wa Dar kwenda Morogoro na Dodoma kwanza, waondoe kituo cha Pugu na wanaoenda vitu vya karibu kama Soga na Ruvu wakate tiketi masaa mawili kabla treni kuondoka, vinginevyo hizi taarifa za kwamba SGR inajaza sana itakuwa ni mbwembwe tu zisizo na mashiko.
View attachment 3071393
Sio kila kitu ni hujuma, mambo mengine kama haya ni wizi na utapeli tu ambao unatakiwa kushughulikiwa na TRC pamoja na polisi.Tiss
Wako wapi
Kuanzia bundi au ngedere kukwamisha safari mpaka masuala haya yanayoendelea naamini zote hizi ni hujuma sasa kwanini watu wasishughulikiwe kwa userious ili iwe mfano
Kuna mtu mwenye uchungu na mabilioni yaliyotumika kwenye huo miradi kweli
au ndiyo aletwe mwekezaji tuwape watu faida tu kizembe
Kuna wakati natamani ningekuwa rais
Naunga Mkono hoja hao wanao shuka majiani wawe na behewa lao huko nyuma na kuwe na system kabisa inaonyesha kuna paka anashuka kituo fulani 1,000 Dar mpaka Moro?Wa njiani wawe na behewa lao, wakaguliwe huko.
Kama hao wafanyakazi wa TRC hawakufikiria mambo rahisi kama haya mapema sijui hata wanalipwa kwa kazi gani!Naunga Mkono hoja hao wanao shuka majiani wawe na behewa lao huko nyuma na kuwe na system kabisa inaonyesha kuna paka anashuka kituo fulani 1,000 Dar mpaka Moro?
1,000 Dar mpaka Dodoma? Huu siusengehuuSio kila kitu ni hujuma, mambo mengine kama haya ni wizi na utapeli tu ambao unatakiwa kushughulikiwa na TRC pamoja na polisi.
Ndio watengeneze mifumo sasa ijulikane nani anashuka kituo fulani ikiwezekana wawe wanatangaziwa kabisa abiria fulani fulani kituo chako fulani shuka ukileta janja janja tukikudaka faini ni Hela nyingi au unaenda ndaniKama hao wafanyakazi wa TRC hawakufikiria mambo rahisi kama haya mapema sijui hata wanalipwa kwa kazi gani!