Na ikisha anza kuwa daladala,jiulize wenye coaster na Hiace zao itakuwaje. Japo hata hivo,wenye mabasi pia wanakaa kufikilia iweje. Ilitakiwa iwe ya safari ndefu. Kupakia vituoni,sawa. Ila anaeshuka njiani,awe amelipia tiketi ya mbali. Labda siku furani,mfano wikendi,ibebe wote,isionekane wanabagua au ipo kwa ajili ya watu furani. Mtu anatakiwa walau afanyie Kazi Dar akiwa anakaa Moro