MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Simple sana hii kk mwwendo wa technloogyZile tiketi waweke katika mfumo wa kuscan unapoingia kama pale stesheni unapojiandaa kuoanda treni, na unaposhuka unascan tena, ikiwa tiketi yako inaonesha mwisho ni ngerengere na umeshukia moro, basi inakugomea kutoka mule ndani inabidi ulipe nauli ya ziada. Ikiwa tiketi yako ni ya pugu na umeshukia dar, basi ushindwe kutoka mpaka ulipie kiasi cha safari uliyozidisha
Au waagiziwe viberenge tuNaunga Mkono hoja hao wanao shuka majiani wawe na behewa lao huko nyuma na kuwe na system kabisa inaonyesha kuna paka anashuka kituo fulani 1,000 Dar mpaka Moro?
Huyo takukuru amechukua hatua gani dhidi ya hiyo hujuma?Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na Daladala? TRC inaelewa kweli inachokifanya?
Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria wa ruti za Dar-Morogoro na Dodoma kwanza, waondoe ruti ya Dar-Pugu na wanaoenda vitu vya karibu kama Soga na Ruvu wakate tiketi masaa mawili kabla treni kuondoka, vinginevyo hizi taarifa za kwamba SGR inajaza sana itakuwa ni mbwembwe tu zisizo na mashiko.
View attachment 3071393
Ndio wawekewe katren kao kanakofanana na hizo mwisho Ngerengere kawe km kidaladala ili wasione km wametengwa,Au waagiziwe viberenge tu
Wameshindwa kuwaweka katika behewa moja ili kuhakikisha wanashuka kwenye vituo vyao? Wakichanganyika na wa masafa marefu, uwezekano ni mkubwa watasafiri mpaka Dom kwa elfu moja!Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na Daladala? TRC inaelewa kweli inachokifanya?
Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria wa ruti za Dar-Morogoro na Dodoma kwanza, waondoe ruti ya Dar-Pugu na wanaoenda vitu vya karibu kama Soga na Ruvu wakate tiketi masaa mawili kabla treni kuondoka, vinginevyo hizi taarifa za kwamba SGR inajaza sana itakuwa ni mbwembwe tu zisizo na mashiko.
View attachment 3071393
Shida sio ukaguzi, ticket ziwe za rangi tofauti tu problem solved. Wanaoshukia Pugu Pink, Soga Kijani, Ruvu Blue na Ngerengere Njano. Wanaofika Moro za kwao ziwe nyeupe.Mh sasa hiyo nayo kusema wa njiani na behewa lao mtawapa kazi watoa huduma.
Kama mkaguzi akiwa mmoja mbona sio usumbufu dada!?
Ikifanyika hivi walau hata wiki moja au mwezi italeta hofu watu hawatakua wakifanya huo ubadhilifu tena wakihofia kukaguliwa.
Sijaelewa hapa.Kuna watu Wana Panda treni (SGR)ktuoka pale stesheni mjini Hadi Pugu?Bora ya rangi za tiketi au mfumo mwingine aise. Wazee wa kukodoa macho watakosa uhondo. Unajua kuna mwingine wa kushukia njiani na hapo mambo unatakiwa kwanza ndo uyaweke sawa.
Japo kwa upande mwingine,hayo ni madhara ya serikali kutowajali watu wake. Ukiona hovo,ujue mtu hajakaa sawa kiuchumi,hesabu zake zinagoma.
Ndo hivo. Kila kituo,paki shusha,pakia,shusha. Sasa ndo wanalalamika kuna abilia anakata tiketi ya Dar-Pugu, af anaenda kushukia Dodoma.Sijaelewa hapa.Kuna watu Wana Panda treni (SGR)ktuoka pale stesheni mjini Hadi Pugu?
TRC please piteni hapa msome kwanini mnashindwa vitu havihitaji akili ya ziada, Train ya Dar to Dodoma haitakiwi kusimama kituo cha kwanza Moro na vya mbele ni sawa lakini vituo vyote kati ya Dar na Moro viwe covered na Train ya Moro tu. Yaani hata watu wa ma bus wanawashinda, unadhani Shabiby atachukuwa abiria wa Mlandizi au Chalinze? atachukuwa wa Dom to vituo karibu ya Dom kwa bei ya Dom tu. Hebu badilikeni tumieni akili kidogo tu.Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na Daladala? TRC inaelewa kweli inachokifanya?
Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria wa ruti za Dar-Morogoro na Dodoma kwanza, waondoe ruti ya Dar-Pugu na wanaoenda vitu vya karibu kama Soga na Ruvu wakate tiketi masaa mawili kabla treni kuondoka, vinginevyo hizi taarifa za kwamba SGR inajaza sana itakuwa ni mbwembwe tu zisizo na mashiko.
View attachment 3071393
Hivi vituo vya Pugu na Msoga iwe train ya Dar to Moro tu sio ya Dodoma, na pia nimesikia kwenye kipindi chao kuwa kila behewa kuna muhudumu mmoja hii ni rahisi sana kwa TRC wala hakuna haja ya kuangalia ticket kila mara abiria wakishaingia kwenye behewa muhudumu anapitia ticket zote kama kuhakiki seat na sehemu unayoenda kwa mujibu wa ticket basi hapo anajuwa humu na abiria 30 wa Dodoma na watano Moro labda mmoja Pugu. Ni kazi yake baada ya kituo kujuwa mtu kashuka au hapana baada ya hapo rahisi wa kuwakamata na kuwachukulia hatua.Kuweka vituo vya Pugu,Msoga na Ngerengere sio kosa mkuu.
Ila kama ni hivyo itatakiwa uwepo ukaguzi wa tiketi kama ilivyo kwenye metre gauge.
Maana kwenye metre gauge huwa kila baada ya muda kituo kikifika tiketi inakaguliwa na kama tiketi huna ama umevuka kituo unachajiwa pesa.
Haina namna itabidi iwe hivyo.
Kwasababu wapo wanaopandia Pugu ambao ni wakaazi wa Gongo la mboto,ukisema ukitoe itakua mtihani.
Japo suala la kukagua tiketi kila mara nalo kidogo laweza likaleta discomfort fulani ila lifanyike kiustaarabu tu,kila behewa moja mkaguzi mmoja anatosha,na zikaguliwe kila baada ya kuvuka kituo kimoja.
Online ticket je ? Rangi tofauti bado zinahitaji physical inspection ndani ya behewa kwa kila abiria. Passenger manifest kwa kila behewa na kila mhudumu ni suluhisho rahisi lenye gharama nafuu mno(print cost ya A4 moja kila behewa), hakuna usumbufu kwa abiria na utekelezaji rahisi.Shida sio ukaguzi, ticket ziwe za rangi tofauti tu problem solved. Wanaoshukia Pugu Pink, Soga Kijani, Ruvu Blue na Ngerengere Njano. Wanaofika Moro za kwao ziwe nyeupe.
Option ingine wawekwe behewa lao wote wanaoshukia njiani.
Wabongo bana tunajimaliza wenyewe kwa ubahili wa kijinga na kipumbavu.Shida sio ukaguzi, ticket ziwe za rangi tofauti tu problem solved. Wanaoshukia Pugu Pink, Soga Kijani, Ruvu Blue na Ngerengere Njano. Wanaofika Moro za kwao ziwe nyeupe.
Option ingine wawekwe behewa lao wote wanaoshukia njiani.
Kwenye bus huwa hakuna vituo kama daladala, Abood inayoenda Moro ina kituo kimoja tu cha njiani na nauli unaweza kulipishwa ya Moro, pia tiketi zinakaguliwa mara nyingi sana.Wabongo bana tunajimaliza wenyewe kwa ubahili wa kijinga na kipumbavu.
Mbona gharama ya kusafiria treni haipishani sana na ya bus!?
Mbona kwenye bus Abood hawafanyi hivyo!?
Ni kujiendekeza na ubahili wa KIPUMBAVU na kujitia umasikini wa kujitakia.Tanzania sio masikini kiasi hicho aisee.
Sawa ila tunajitia umasikini wa makusudi na wa kipumbavu.Kwenye bus huwa hakuna vituo kama daladala, Abood inayoenda Moro ina kituo kimoja tu cha njiani na nauli unaweza kulipishwa ya Moro, pia tiketi zinakaguliwa mara nyingi sana.
Bus za kwenda Dodoma vituo ni viwili tu, nauli unalipa ya Moro au Dom na kila muda kondokta akiwa bored anapita kukuagua tickets.