SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Leta ushahidi.


Nasubiri ushahidi.
Kumbe ushahidi ni kitu muhimu sana kwako sio?. Hizi story unazotutapikia umeshaweka ushahidi?. Kama ambavyo unataka kutuaminisha kwamba unachosema bila ushahidi ni fact, basi na wewe amini ninachokuambia kuwa ni fact, hakuna sababu ya kuomba ushahidi.
 

Nilikupa link ya website ya World Bank (kuna doumentation ya miradi yote na background yake) hutaki kusoma. Unataka screenshot! Utajifunza vitu vingi sana kwenye hiyo library if you wish to that is. Uliniambia mimi "ni muongo kwa kuwa uliipitia hiyo document na haina reference ya SGR". Nikakuuliza hivi: "hiyo document ina maelezo gani" Hujajibu hadi muda huu.

Kama nilivyomwambia mwenzako mmoja hapa; nawe ninakuambia sasa: Mtu yeyote ambae ni ccm apologist leo hii HAWEZI ku-face facts. Mmezoea UONGO na UZUSHI. Hakuna kiumbe ninachokifahamu dunia hii kisichotaka kuuishi ukweli kama nyie wana ccm (naandika ccm badala ya CCM kwa kuwa genge hili linalojiita ccm limekosa uhalali wa kuitwa jina hilo in caps). Mtu kutoka nje akisoma sifa zenu kwa mungu wenu atadhani nchi hii ni perfect, hakuna shida hata kidogo. But as the Zimbabweans have been saying: we live here and we know what difficulties we are going through.

Huwa hamjibu hoja, why? HAMNA FACTS ZA KU-BACK UP. And what do you resort into? MATUSI. I am always amused when someone resorts to foul language, because by doing that they admit that you have a point AND THEY HAVE NONE. Zero, zilch!

HAKUNA SIKU HATA MOJA niliyomsikia kiongozi wa serikali hii ya ccm anaekiri kuwa kuna makosa yalifanyika - labda kama anaongelea serikali za nyuma (as if wote ni wageni na/au chama kingine kilikuwa kinaongoza hizo serikali).Kama hamkosei why we all these problems?

You are free to believe what you wish.
 
Wewe ni gunia
Unataka faida zianze kuonekana direct?
Ndio maana mko poor hadi waleo...
Sgr yetu ni long term investment,
Faida zitaanza kuonekana 2023 hapo...or mybe much earlier.
Iyo time tutakuwa tunapitisha more than 50trains...
Now ni 12...
Tukianza ilikuwa 1.
Note the progress....
Si unaamka one morning ukipitisha matarajio ya 5yrs within a month!
 
Braza usisahau kabisa Kenya hamna utajiri wakumsaidia hata jirani $500M you r just nowhere close to the rich country ...
Ukianza kusema Tz ni poor jua hata ninyi bado sana kufikia level Za utajiri...
Meza iyo pill
 
Raisi yupi aliwah kua mzuri Tz? Ambae hana miyeyusho?unaweza kua sahihi kabisa lakini nipe mfano wa raisi ambae alifanya wonders nchi hii
 
Vipi kuhusu hii article, pia nimeandika David Ndii?, kama train 12 kwa siku zinazalisha 50% ya gharama za uendeshaji, maana yake zinahitajika 24 trains kwa siku ili kufikisha gharama za uendeshaji, sasa hiyo ni reli au barabara?
[emoji23] [emoji23]
 

Please avail us with the evidence, #2
 
Hahahahaha, train sio gari kuweza kupitisha idadi yoyote, hata gari zikiwa nyingi zinasababisha jam, train yenu ni njia moja, hizi train 50 zitapita wapi?. Failed state ninyi.
 

I've gone through this article above, between and under the lines, no any loss or damage seen. The exercise was good and fruitful like the one which was done in early 2000's.
 
Ndio sababu nikasema, wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana. Mimi ninakuomba uweke ushahidi ili niuutumie katika mjadala wetu hapa, wewe unatoa reference ili nikasome ndio humo ndani nichambue.

Sasa sikiliza, nenda katafute kadi ya kliniki aliyotumia mkeo akiwa mja mzito angalia EDD, kisha angalia tarehe aliyojifungua, na uangalie rhesus factor ya mtoto wako, ndio utaamini haya ninayokuambia kwamba mtoto sio wako.
 
I've gone through this article above, between and under the lines, no any loss or damage seen. The exercise was good and fruitful like the one which was done in early 2000's.

🤣Are you really that dumb?
 
Mnasahau mno, Magu alisema tunaanza na fedha yetu, watatukuta njiani kwa sababu walikataa kutoa mkopo, watakatupa mashariti ya ajabu. Na wameshaanza kuwasiliana na wachina kuhusiana na mkopo
 
Mnasahau mno, Magu alisema tunaanza na fedha yetu, watatukuta njiani kwa sababu walikataa kutoa mkopo, watakatupa mashariti ya ajabu. Na wameshaanza kuwasiliana na wachina kuhusiana na mkopo
Yapi Merkez wanajenga phase 1 & 2 wanaweza pewa phase 3 mpaka Isaka. Baada ya hapo tunaweza jenga wenyewe.
 
Thank you very much. Which means now Magufuli anachokifanya ni kuua 97% of employment na 75% of investment. What then will happen to the economy of the country?
Mm nmeeelewa sana point zako na idea zako ..ingawa unaonesha una bias..bado kwenye swala kwamba anaua private sector..niambie anavyoiua.?
1.Katoa Kodi nying za Kilimo
2.Kahakikisha wachimbaji wadogo wana maslahi
3.SgR unahis anajenga ..unahis itamsaidia nan kama sio private sector
4.Hii miradi ya Barabara ..kupanua bandari na airports zote hizo ni for private sector zi thrive
5.Private sector haziwezi ku thrive bila supportive infrastructure

Nmeelewa na ni vizur ku question kama SGR ya Tz italipa...na hili swala ni la kuchukulia serious..inabid kwa miaka hii ..Goverment..ihakikishe inasupport investors wa kutosha ku invest kwa kujenga viwanda ..Morogoro na Dodoma maeneo karbia na Reli ..kwa hapa hili swala ni muhimu kabsa
 
Ongea na facts .mkuu...ndio serikali haippatii kila kitu ila usiwe na bias
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…