Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
[emoji3][emoji3][emoji3]Democracy wazungu walibeba na kuhama nayo wakati Afrika ilipata uhuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Democracy wazungu walibeba na kuhama nayo wakati Afrika ilipata uhuru.
Democracy wazungu walibeba na kuhama nayo wakati Afrika ilipata uhuru.
Njia pekee iliyobaki kwa Kenya ni kukubali kwamba Tanzania ni "Unstoppable", na waungane na Tanzania kama waliivyofanya, Rwanda, DRC, Burundi, Uganda, Malawi na Zambia.
Kenya lazima ichague kaundelea kushindana au kukubali kuungana na Tanzania.
Katiba mahali popote duniani ni karatasi kama karatasi yoyote ile. Kuna watu wanaoiheshimu na kufuata masharti yake ila kuna wale ambao wanaitumia kama karatasi ya kupanguzia tundu la nyuma.Itakuwa labda huifahamu katiba ya Kenya.
😛😛😛
Kwa hivyo hata DR Congo ambao wana resources nyingi kuwashinda wajilinganishe na South Africa?Hata sisi kushindana na Kenya ni kujidhalilisha kwa resources tulizokuwa nazo hatupaswi kujilinganisha na Kenya hata kidogo tuanze kujiweka kwenye ligi na South Africa au Egypt. Kenya wako na resources kidogo sana
Katiba mahali popote duniani ni karatasi kama karatasi yoyote ile. Kuna watu wanaoiheshimu na kufuata masharti yake ila kuna wale ambao wanaitumia kama karatasi ya kupanguzia tundu la nyuma.
Ss hapa katiba mpya imesaidia nn huko kenya.Atapigwa stopper. Anayecontrol serikali ndiye anayecontrol nani atakuwa rais. Raila alishinda 2007 ila anayecontrol serikali ndiye aliyetangazwa mshindi. Ruto ni outsider kwa sasa. Jamaa sio mwerevu sana, maana kama angetaka urais angekaa karibu na Uhuru na kuonyesha unyenyekevu kwake. Tatizo ni kuwa amepata mamlaka kidogo ya unaibu wa rais sasa amefura kichwa anadhani yeye ndio rais. Ananyakua mashamba kila mahali. Uzuri hakubarikiwa na akili. Ndio, atapigiwa kura na watu wengi ila hatatangazwa mshindi. Rais ndiye atakaye amua nani ni mshindi. Siasa ya Afrika iko hivyo.
Cc komora096 MK254 Kafrican Nicxie Teargass Mashashola mwathadan pingli-nywee NairobiWalker asvptx mwaswast Edward WanjalaHakuna nchi yoyote Afrika ambayo ina demokrasia ya kweli.
Resources nyingi walizonazo DRC cc tunazo ila nyingi tulizonazo wao hawana, so Tz iko ligi yake pekee.Kwa hivyo hata DR Congo ambao wana resources nyingi kuwashinda wajilinganishe na South Africa?
Kwa hivyo hata DR Congo ambao wana resources nyingi kuwashinda wajilinganishe na South Africa?
Egypt wana resources zipi?Naona hukunipata vizuri, kwa Tz kujilinganisha na Kenya ni kujishusha na kujidumaza na hatutasonga mbele why nasema hivyi kwa kuwa Kenya wana resources kidogo na wamepiga hatua mbele kutuliko sisi wenye resources nyingi. Sasa badala ya watz kukaaa na kushindana na Kenya tunatakiwa tujithathmini je kwa eesources tulizokuwa nazo why tuko hapa kwa umaskini? Tuwaangalie Egypt na South Africa wametumiaje resources kuinua uchumi wao na wa wananchi wao tunatakiwaw tujifunze kwa hao na sisi kukipigizana kelele na wakenya.
Mafuta na gas, na dhahabu imegundulika bado ipoEgypt wana resources zipi?
kuwa serious kidogo mbona gas yao ni ndogo sana at 4TCf na gold 1 mln onces huwezi ukaiweka group moja na SA au hata na Tanzania! Egypt is one of resource scarce country!Mafuta na gas, na dhahabu imegundulika bado ipo
Wacha kunigonganisha na Wakenya wenzangu ama utafanya niihame JF. Wewe pekee ndio una hii tabia. Na mimi nina haki ya kuongea ukweli. Lakini wacha kuchochea uhasama kati yangu na Wakenya wengine. Hii ni mara ya pili ninakuonya. Fanya hivyo tena kuita Wakenya wengine waje kwa sababu ungependa waniattack na mimi nitahama JF permanently. Sipendi huu ujinga wako. joto la jiwe ongelesha huyu mwenzako, anataka kunikosanisha na Wakenya wenzangu. Tatizo lake nini? Kwani siwezi kuongea ukweli bila yeye kukimbia kumention Wakenya wengine? Hii ni mara ya pili anafanya hivi. Sasa umeelewa mbona saa zingine huwa ninaihama JF?Cc komora096 MK254 Kafrican Nicxie Teargass Mashashola mwathadan pingli-nywee NairobiWalker asvptx mwaswast Edward Wanjala
Kujeni muone mkenya mwenye kujitambua kdg akisema ukweli [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alafu ww jamaa una utoto mwingi, yaani tusipokusifia kwa post zako,unatishia kutoka JF,tukiwaita wakenya wenzio kudhibitisha maneno yako,unatishia kutoka JF 😆😆😆 Acha utoto bhana 😂😂😂Wacha kunigonganisha na Wakenya wenzangu ama utafanya niihame JF. Wewe pekee ndio una hii tabia. Na mimi nina haki ya kuongea ukweli. Lakini wacha kuchochea uhasama kati yangu na Wakenya wengine. Hii ni mara ya pili ninakuonya. Fanya hivyo tena kuita Wakenya wengine waje kwa sababu ungependa waniattack na mimi nitahama JF permanently. Sipendi huu ujinga wako. joto la jiwe ongelesha huyu mwenzako, anataka kunikosanisha na Wakenya wenzangu. Tatizo lake nini? Kwani siwezi kuongea ukweli bila yeye kukimbia kumention Wakenya wengine? Hii ni mara ya pili anafanya hivi. Sasa umeelewa mbona saa zingine huwa ninaihama JF?
Ndio tujifunze why wao wameendelea kutuliko?kuwa serious kidogo mbona gas yao ni ndogo sana at 4TCf na gold 1 mln onces huwezi ukaiweka group moja na SA au hata na Tanzania! Egypt is one of resource scarce country!
Egypt says $1.8 billion gold deposit found
Eni announces new gas discovery in Egypt’s ‘Great Nooros Area’
Sawa mama!Ndio tujifunze why wao wameendelea kutuliko?
Wacha kunigonganisha na Wakenya wenzangu ama utafanya niihame JF. Wewe pekee ndio una hii tabia. Na mimi nina haki ya kuongea ukweli. Lakini wacha kuchochea uhasama kati yangu na Wakenya wengine. Hii ni mara ya pili ninakuonya. Fanya hivyo tena kuita Wakenya wengine waje kwa sababu ungependa waniattack na mimi nitahama JF permanently. Sipendi huu ujinga wako. joto la jiwe ongelesha huyu mwenzako, anataka kunikosanisha na Wakenya wenzangu. Tatizo lake nini? Kwani siwezi kuongea ukweli bila yeye kukimbia kumention Wakenya wengine? Hii ni mara ya pili anafanya hivi. Sasa umeelewa mbona saa zingine huwa ninaihama JF?