SGR ya Tanzania ni "Suez Canal "ya Afrika Mashariki na Kati

Njia pekee iliyobaki kwa Kenya ni kukubali kwamba Tanzania ni "Unstoppable", na waungane na Tanzania kama waliivyofanya, Rwanda, DRC, Burundi, Uganda, Malawi na Zambia.

Kenya lazima ichague kaundelea kushindana au kukubali kuungana na Tanzania.

Hata sisi kushindana na Kenya ni kujidhalilisha kwa resources tulizokuwa nazo hatupaswi kujilinganisha na Kenya hata kidogo tuanze kujiweka kwenye ligi na South Africa au Egypt. Kenya wako na resources kidogo sana
 
Itakuwa labda huifahamu katiba ya Kenya.
😛😛😛
Katiba mahali popote duniani ni karatasi kama karatasi yoyote ile. Kuna watu wanaoiheshimu na kufuata masharti yake ila kuna wale ambao wanaitumia kama karatasi ya kupanguzia tundu la nyuma.
 
Hata sisi kushindana na Kenya ni kujidhalilisha kwa resources tulizokuwa nazo hatupaswi kujilinganisha na Kenya hata kidogo tuanze kujiweka kwenye ligi na South Africa au Egypt. Kenya wako na resources kidogo sana
Kwa hivyo hata DR Congo ambao wana resources nyingi kuwashinda wajilinganishe na South Africa?
 
Atapigwa stopper. Anayecontrol serikali ndiye anayecontrol nani atakuwa rais. Raila alishinda 2007 ila anayecontrol serikali ndiye aliyetangazwa mshindi. Ruto ni outsider kwa sasa. Jamaa sio mwerevu sana, maana kama angetaka urais angekaa karibu na Uhuru na kuonyesha unyenyekevu kwake. Tatizo ni kuwa amepata mamlaka kidogo ya unaibu wa rais sasa amefura kichwa anadhani yeye ndio rais. Ananyakua mashamba kila mahali. Uzuri hakubarikiwa na akili. Ndio, atapigiwa kura na watu wengi ila hatatangazwa mshindi. Rais ndiye atakaye amua nani ni mshindi. Siasa ya Afrika iko hivyo.
Ss hapa katiba mpya imesaidia nn huko kenya.
 
Kwa hivyo hata DR Congo ambao wana resources nyingi kuwashinda wajilinganishe na South Africa?

Naona hukunipata vizuri, kwa Tz kujilinganisha na Kenya ni kujishusha na kujidumaza na hatutasonga mbele why nasema hivyi kwa kuwa Kenya wana resources kidogo na wamepiga hatua mbele kutuliko sisi wenye resources nyingi. Sasa badala ya watz kukaaa na kushindana na Kenya tunatakiwa tujithathmini je kwa eesources tulizokuwa nazo why tuko hapa kwa umaskini? Tuwaangalie Egypt na South Africa wametumiaje resources kuinua uchumi wao na wa wananchi wao tunatakiwaw tujifunze kwa hao na sisi kukipigizana kelele na wakenya.
 
Egypt wana resources zipi?
 
Cc komora096 MK254 Kafrican Nicxie Teargass Mashashola mwathadan pingli-nywee NairobiWalker asvptx mwaswast Edward Wanjala

Kujeni muone mkenya mwenye kujitambua kdg akisema ukweli [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha kunigonganisha na Wakenya wenzangu ama utafanya niihame JF. Wewe pekee ndio una hii tabia. Na mimi nina haki ya kuongea ukweli. Lakini wacha kuchochea uhasama kati yangu na Wakenya wengine. Hii ni mara ya pili ninakuonya. Fanya hivyo tena kuita Wakenya wengine waje kwa sababu ungependa waniattack na mimi nitahama JF permanently. Sipendi huu ujinga wako. joto la jiwe ongelesha huyu mwenzako, anataka kunikosanisha na Wakenya wenzangu. Tatizo lake nini? Kwani siwezi kuongea ukweli bila yeye kukimbia kumention Wakenya wengine? Hii ni mara ya pili anafanya hivi. Sasa umeelewa mbona saa zingine huwa ninaihama JF?
 
Alafu ww jamaa una utoto mwingi, yaani tusipokusifia kwa post zako,unatishia kutoka JF,tukiwaita wakenya wenzio kudhibitisha maneno yako,unatishia kutoka JF 😆😆😆 Acha utoto bhana 😂😂😂
 
Wacha kunigonganisha na Wakenya wenzangu ama utafanya niihame JF. Wewe pekee ndio una hii tabia. Na mimi nina haki ya kuongea ukweli. Lakini wacha kuchochea uhasama kati yangu na Wakenya wengine. Hii ni mara ya pili ninakuonya. Fanya hivyo tena kuita Wakenya wengine waje kwa sababu ungependa waniattack na mimi nitahama JF permanently. Sipendi huu ujinga wako. joto la jiwe ongelesha huyu mwenzako, anataka kunikosanisha na Wakenya wenzangu. Tatizo lake nini? Kwani siwezi kuongea ukweli bila yeye kukimbia kumention Wakenya wengine? Hii ni mara ya pili anafanya hivi. Sasa umeelewa mbona saa zingine huwa ninaihama JF?

Aisee The best 007 muache jamaa, amelalamika sana.
 
Nimechelewa kazini nikisoma hii post tamu sana!!

Naipenda nchi yangu Tanzania na Rais wangu JPM!

Watanzania kadhaa hawaelewi kwa nini Wachina waliamua kuvaa makanzu kwa miaka hiyo na Western wakawekeza kuishambulia China kuwa iliongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu,
Na hawataki kujiuliza kama China kuna demokrasia ya aina gani,
Ila sasa wanapenda kuisifia China ya sasa jinsi inavyoijampisha USA.
na jinsi walivyogeuza lile vazi lao la kanzu lililoweza kushonwa nyakati zile kwa dk 5 kwenye cherehani ya butterfly ya kaeaida mtaani, na sasa vazi hilo limeboreshwa na kuwa vazi la maana kwa wanawake, likivaliwa karibia dunia nzima, na wanaume wa China sasa wanavaa km Western,
Lakini hawajiulizi ni kwa namna gani China imeweza kufikia hapo..
Tusione vyaelewavimeundwa!... kwa jasho!
Watanzania tupo kny right move, tiyaishi maono ya JPM in no time hatutakuwa tunabishana na hawa manyang'au,
We are just unique!

Cc Geza Ulole
Cc joto la jiwe
 
Back
Top Bottom