Inawezekana kwenye analysis, route hiyo imeonekana haina tija kwa maana ya kwamba inasababisha hasara zaidi.SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
Inawezekana kwenye analysis, route hiyo imeonekana haina tija kwa maana ya kwamba inasababisha hasara zaidi.
Eh! Hao ni wapiga kura wake sio wa cmm wapigaSGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
Wasingemuua Magufuli SGR ingeshafika Mwanza kitambo tu.Upuuzi Wa SGR Sasa Kufuta Maana Yake Nini
Matajiri Wana Nguvu Ndiyo Maana Mwanza SGR Imejaa Kutu
Kipindi yupo hai ulisema hafai ni diktetaWasingemuua Magufuli SGR ingeshafika Mwanza kitambo tu.
Mzilankende Alitaka Ifike Mwanza ChapWasingemuua Magufuli SGR ingeshafika Mwanza kitambo tu.
Serikali ya Tanzania haiweke mazingira wezeshi (Vikwazo vingi) ukilinganisha na Mataifa kama Kenya, au Rwanda!....Hivi kwanini Dangote amehamishia refinery Mommbasa badala ya Tanga?
Alikuwa dikteta kweli lakini hanizuii kukiri yale mazuri yake.Kipindi yupo hai ulisema hafai ni dikteta