SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

Mzilankende Alitaka Ifike Mwanza Chap
Leo Hii Ukiutazama Mradi Kuanzia Mkolani Umekufa Kibudu
Kato alikuwa na mapungufu yake lakini kwenye kusimamia na kupush mambo alikwa yuko vizuri, siyo huyu macho malegevu akisha kula kungumanga na kunywa K Vant anajizima data walio chini yake wanajipakulia kwa urefu wa kamba zao.
 
Alikuwa dikteta kweli lakini hanizuii kukiri yale mazuri yake.
Kuna tofauti kati ya Dikteta kweli na Dikteta uchwara. Madikteta wa kweli ni kama Muammar Gaddaf, nk. Madikteta wa kweli watakunyima uhuru wa kisiasa tu. Huko kwingine wanakuachia uhuru wa kujinafasi.

Dikteta Uchwara hukaba kila sehemu.
 
This kind of enmeshment between business owners and the Tanzanian government is so bizarre and harmful — this isn’t about economic cooperation — if the central claim in the post is true — this is purely corruption and the primary victims will always be the citizens of Tanzania.
 
Back
Top Bottom