SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

Mtanikumbuka! - JPM
Kabisa Apumzike kwa amani Mzilankende!
Afande sele a.k.a Mfalme wa rhymes alifungua kinywa kwenye hili akapigiwa simu moja tu...mbioo..
Ndio maana Jembe JPM alipoingia aliwakataa...
 
Sahihi kabisa. Hizo zingine rongorongo. Hii inchi ina mambo ya kipumbavu sana. Imagine sgr inahujumiwa kwa faida ya mtu bi binafsi

Tumia akili japo kidogo
kutumia akili ni pamoja na kuangalia kama hizo za mchana zinajaa au lah
 
Abood Leo Kaleta Yutong Mpya Zaidi Ya 20
 

Attachments

  • 43358ac182ac057ded8d663a80936ca2_1791352180888.mp4
    11.4 MB
  • 840b190b47e515c1912247fe7c29a668_1791351081324.mp4
    10.7 MB
Kama ni kweli huyo Abood mwenyewe atakuwa hana akili,hivi kusafiri Morogoro-Dar kwa masaa 5 kwa 13,500 anaona ni akili kweli,wakati kuna route kibao ambazo zingeweza kumlipa...
 
Hi
Matendo yake ndiyo yaliutambulisha udikteta uchwara wake.

Shida haikuwa yeye,shida ni mfumo mbovu wa serikali nzima ya ccm,
Lakini pia akili finyu za sisi watanzania.Na ndio maana Kila kiongozi anayeingia anaonekana hafai.
Na hata wewe hapo nikikuuliza unadhani kwa sasa nani pale ccm anafaa kuingoza nchi unaweza usimpate(namaanisha kiongozi Bora)
 
SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
1791474361810.jpeg
 
Hi


Shida haikuwa yeye,shida ni mfumo mbovu wa serikali nzima ya ccm,
Lakini pia akili finyu za sisi watanzania.Na ndio maana Kila kiongozi anayeingia anaonekana hafai.
Na hata wewe hapo nikikuuliza unadhani kwa sasa nani pale ccm anafaa kuingoza nchi unaweza usimpate(namaanisha kiongozi Bora)
Ndiyo maana tunataka Katiba Mpya, ila pamoja na hilo yeye pia alikuwa na elements za udikteta kwani moja wapo ya mambo aliyoapa kuyafanya ni kuua upinzani na alifanya kweli kama alivyofanya kwenye chaguzi za 2019 na 2020. Katika eneo la kusimamia miradi he did a good job, kwenye democracy na good governance alizingua big time.
 
Back
Top Bottom