SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

Mradi Umrchakaa Ukiwasikia Sasa Viomgozi Tunajenga Wenyewe Pesa Tunazo Mfyuu
Niliona juzi wamepeleka magreda wanatumua mavumbi huko Singida wanasema mradi umefikia 50%
 
Abood anawapenda sana wananchi wake wa Moro, anapenda pia awabebe yeye mwenyewe na si chombo lingine😄, inawezekana mahaba kwa mbunge.

Au abiria ni wachache sana wanaona ni hasara ya kujirudia rudia Bora waitoe. Watu wa Moro maneno mengi ila kupanda treni hakuna 🤣🤣
 
SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
Sahihi kabisa. Hizo zingine rongorongo. Hii inchi ina mambo ya kipumbavu sana. Imagine sgr inahujumiwa kwa faida ya mtu bi binafsi
weka ushahidi ili tuliangazie kwa makini, nyuzi ya pili hii ya namna hii.
Tumia akili japo kidogo
 
Back
Top Bottom