CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kato alikuwa na mapungufu yake lakini kwenye kusimamia na kupush mambo alikwa yuko vizuri, siyo huyu macho malegevu akisha kula kungumanga na kunywa K Vant anajizima data walio chini yake wanajipakulia kwa urefu wa kamba zao.Mzilankende Alitaka Ifike Mwanza Chap
Leo Hii Ukiutazama Mradi Kuanzia Mkolani Umekufa Kibudu
Kubwa SanaDuh hatari maisha ni fumbo. 🤔
Ila Abood anapata faida sio ?Inawezekana kwenye analysis, route hiyo imeonekana haina tija kwa maana ya kwamba inasababisha hasara zaidi.
Ulijiunga na wauaji kumsema vibayaAlikuwa dikteta kweli lakini hanizuii kukiri yale mazuri yake.
Kuna tofauti kati ya Dikteta kweli na Dikteta uchwara. Madikteta wa kweli ni kama Muammar Gaddaf, nk. Madikteta wa kweli watakunyima uhuru wa kisiasa tu. Huko kwingine wanakuachia uhuru wa kujinafasi.Alikuwa dikteta kweli lakini hanizuii kukiri yale mazuri yake.
Sidhani kama lengo ndo hilo ingawa katika ecosystem yake its obvious na sio Abood pekee atafaidika na hilo!Ila Abood anapata faida sio ?
Mimi ni tofauti na nyie chawa wa Samia mnaosifia kila upuuzi anaofanya, mimi nina fikra huru, baya nalisema na zuri nalisema pia. Na hao wauaji ndiyo wewe kila siku unawasifia humu.Ulijiunga na wauaji kumsema vibaya
Kwahiyo JPM yeye alikua kundi lipiKuna tofauti kati ya Dikteta kweli na Dikteta uchwara. Madikteta wa kweli ni kama Muammar Gaddaf, nk. Madikteta wa kweli watakunyima uhuru wa kisiasa tu. Huko kwingine wanakuachia uhuru wa kujinafasi.
Dikteta Uchwara hukaba kila sehemu.
Alikuwa ni Dikteta Uchwara.Kwahiyo JPM yeye alikua kundi lipi
Bila evidence huu nao ni umbeya tuSGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
Vyuma vinaliwa na kutu tu.Mzilankende Alitaka Ifike Mwanza Chap
Leo Hii Ukiutazama Mradi Kuanzia Mkolani Umekufa Kibudu
Jna nilikuwa kwenye Bus kutoka Dom kwenda Tabora aiseeee nikiangalia huo mradi kama vile umekufa miaka 10 iliopita hakuna muendelezo ni ujinga ujinga tuMzilankende Alitaka Ifike Mwanza Chap
Leo Hii Ukiutazama Mradi Kuanzia Mkolani Umekufa Kibudu
Madalali hawakuafikiana bei?Hivi kwanini Dangote amehamishia refinery Mommbasa badala ya Tanga?