Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

Uko vizuri mkuu
 
tusamehe mkuu tatizo anachekesha mno
 
Mkuu deo nenda Russia ukirudi tutakuelewa , utapata matangazo ya soka bet na utakuwa mgeni rasmi ktk vyuo vya kanisa na kulipwa mil 4 vinginevyo hatuwezi kukuelewa kwa upesi. Muige Dr shika mkuu hamna namna hii mbinu yako km inagoma Hivi
 

Siamini kama huyu kisandu ana matatizo!!.. mtu mwenye matatizo hawezi kupangilia matukio kwa usahihi namna hii.. nafikiri huyu jamaa ana akili nyingi sana ila ameamua tu kutuchezea akili
 
Naamini deo yupo vzur kiakili kuliko wote mliomtukana hapo. Anajua anachoandika na kaandika ktk jukwaa sahihi. Wkend Kama hizi kufurahi mambo zur Sana. Good deo
 
Siamini kama huyu kisandu ana matatizo!!.. mtu mwenye matatizo hawezi kupangilia matukio kwa usahihi namna hii.. nafikiri huyu jamaa ana akili nyingi sana ila ameamua tu kutuchezea akili

Kama ungefuatilia mada zake kwa muda kama mimi basi usingetia shaka katika hii " fact" kwamba kuna shida mahali si BURE hata kidogo, nasema kuna shida. Kuna watu humu wanajifanya kama unavyosema, kuna mtu alikuwa anajiita "Kubwa Jinga Junior" na mwenzi Gwadume ama jina kama hilo. Lakini huyu ndugu yetu ana tatizo kidogo ingawa kama tuta "capitalize" katika "positive side" anaweza kuwa na manufaa kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…