Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

Usitumie maneno makali dhidi yake, anahitaji msaada kwa sasa. Lakini lazima tuangalie eneo ambalo angalau twaweza kumpa credit, anapangilia vizuri hadithi zake hata kama hazina mantiki, aya zimepangiliwa vizuri, na pia uandishi kwa ujumla ni mzuri ukiachilia content ambazo mara zote ni shida. Kama kuna mdau humu anamfahamu tuungane tutafute jinsi ya kumsaidia ili awe asset kwa jamii na familia. Lakini tukiishia kumtukana atakuwa "Liability"
Uko vizuri mkuu
 
tusamehe mkuu tatizo anachekesha mno
 
Mkuu deo nenda Russia ukirudi tutakuelewa , utapata matangazo ya soka bet na utakuwa mgeni rasmi ktk vyuo vya kanisa na kulipwa mil 4 vinginevyo hatuwezi kukuelewa kwa upesi. Muige Dr shika mkuu hamna namna hii mbinu yako km inagoma Hivi
 
Usitumie maneno makali dhidi yake, anahitaji msaada kwa sasa. Lakini lazima tuangalie eneo ambalo angalau twaweza kumpa credit, anapangilia vizuri hadithi zake hata kama hazina mantiki, aya zimepangiliwa vizuri, na pia uandishi kwa ujumla ni mzuri ukiachilia content ambazo mara zote ni shida. Kama kuna mdau humu anamfahamu tuungane tutafute jinsi ya kumsaidia ili awe asset kwa jamii na familia. Lakini tukiishia kumtukana atakuwa "Liability"

Siamini kama huyu kisandu ana matatizo!!.. mtu mwenye matatizo hawezi kupangilia matukio kwa usahihi namna hii.. nafikiri huyu jamaa ana akili nyingi sana ila ameamua tu kutuchezea akili
 
Naamini deo yupo vzur kiakili kuliko wote mliomtukana hapo. Anajua anachoandika na kaandika ktk jukwaa sahihi. Wkend Kama hizi kufurahi mambo zur Sana. Good deo
 
Siamini kama huyu kisandu ana matatizo!!.. mtu mwenye matatizo hawezi kupangilia matukio kwa usahihi namna hii.. nafikiri huyu jamaa ana akili nyingi sana ila ameamua tu kutuchezea akili

Kama ungefuatilia mada zake kwa muda kama mimi basi usingetia shaka katika hii " fact" kwamba kuna shida mahali si BURE hata kidogo, nasema kuna shida. Kuna watu humu wanajifanya kama unavyosema, kuna mtu alikuwa anajiita "Kubwa Jinga Junior" na mwenzi Gwadume ama jina kama hilo. Lakini huyu ndugu yetu ana tatizo kidogo ingawa kama tuta "capitalize" katika "positive side" anaweza kuwa na manufaa kwa jamii.
 
Back
Top Bottom