kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Una miaka 50+, una mke na watoto..,bado una uwezo wa kuvinjari jamiiforum.., wewe ni tajiri haswa..,kwa mtu hoehae katika miaka hiyo uliyonayo anakuwa katika mapambano akiangaika Ili apate angalau mlo wa familia,Wala mambo ya jamiiforums hawezi kuyafikiria,Mkuu kuingia jf ndo utajiri?,
Hata bakharessa alianza kuuza urojo na biashara ndogondogo miaka hiyo ya nyuma kabla hajawa bakharessa huyu tunaemjua Sasa hivyo hakuna cha ajabuTusichokijua:[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nadhani hizo ndio biashara ndogo ndogo alizokuwa anazifanya akiwa shuleKwahiyo ulitegemea akupe siri walivyotajirika kwenye meno ya tembo?
Aisee! Kwahio Hawa wenye 50+ humu JF wote ni matajiri!Una miaka 50+, una mke na watoto..,bado una uwezo wa kuvinjari jamiiforum.., wewe ni tajiri haswa..,kwa mtu hoehae katika miaka hiyo uliyonayo anakuwa katika mapambano akiangaika Ili apate angalau mlo wa familia,Wala mambo ya jamiiforums hawezi kuyafikiria,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Alikuwa kibaka kama vibaka wengineWaliosoma naye waje watuambie ukweli wa swala hili
Mawazo yako ushafanikiwa nini!Kwa mawazo hayo unategemea kufanikiwa?
Alisoma forest hill Moro kipindi hicho ni shule ya ki Shua sanaWaliosoma naye waje watuambie ukweli wa swala hili
Kuna la kujifunza Hapa,Shida nini, wenzetu ufunza watoto biashara tangu wadogo.
Sisi tukalipe ada milioni 10 wapate vyeti kusubiria kuajiriwa then tulingane na weupe
Hasa wasukuma mkokoteni, hahahaha!!Wabeba mizigo kila siku wanafanya kazi kwa bidii lakini maisha yao hayabadiliki
Ok, alimaliza form four akiwa na umri gani? Which is ain't less than 15 years old by minimum aproximation. Enhe kwa miaka 4 kwa biashara hizi hizi halali amiliki bus la abiria?!! HahahaAlisoma forest hill , Moro kipindi hicho ni shule ya ki Shua sana