Huyu kasema ana miaka 50+ ana mke na watoto lakini hajaweza kumiliki hata baiskeli, hiyo inaingia akilini??Aisee! Kwahio Hawa wenye 50+ humu JF wote ni matajiri!
Yeye mwenyewe kalianzisha, hatukumuuliza.Acheni maneno fanyeni kazi kwa bidii
Ungekuwa unaijua Gairo ya miaka ya sabini au sitini usingemtetea, maji ya kunywa walikuwa wanayafuata Pandambili au Kibaigwa ambako nako yalikuwa ya shida. Maeneo yote hayo wanyama walikuwa wengi sana.Sasa si kawaambia mfanye kazi kwa bidii. Hayo mengine mnayatoa wapi?
Wapo wengi tu Wana 50+ Wana mke na watoto na hawajui hata kesho watakula nini.Huyu kasema ana miaka 5 0+..,ana mke na watoto.., lakini hajaweza kumiliki hata baiskeli..,hiyo inaingia akilini??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
UNa umri gani weweHuyu kasema ana miaka 5 0+..,ana mke na watoto.., lakini hajaweza kumiliki hata baiskeli..,hiyo inaingia akilini??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maelezo kidogoFursa ya kilimo hapa Morogoro imewatoa wengi kimaisha rejea mmiliki wa mabus ya BM coach anaitwa Gaston Makundi, huyu jamaa kaanzia kwenye kilimo huko Turiani.
Familia za kiafrika nyingi tumezungukwa na ndugu maskini kwa maana hiyo ukitajirika kidogo au ukipata mafanikio kidogo tu inakulazimu usaidie ndugu zako. Hao waarabu wana kautaratibu kakuoana kiukoo -***** hela hazitoki nje ng'o tofauti na siye uko Arusha unaokota pisi ya kinyakyusa Mbeya.Ila wakuu hawa warabu na wahindi kiukweli wanajua kusimamia biashara zao. Pia wana uwezo mkubwa wa kurithisha mali vizazi mpaka vizazi ila sisi waafrika weusi hata uachiwe mabasi 100 baada ya miaka 5 yote utakayakuta juu ya mawe.
Na duniani tunapita tu.Hongera yake , Mimi sasa hivi naitafuta miaka 50+ sina pikipiki, baiskeli wala redio. Nina mke na watoto tu.
Mwisho wa Siku tunasema Mungu ni mwema kwa kila jambo
Meno ya tembo hayo, hapo Gairo ilikuwa njia kuu ya tembo hata sasa hupita. Wote hawa wenye asili ya bara Asia ndo zao, Rosti tamu kule Igunga, maburushi, somali, kalasinga wameharibu sana nchi hii kwa kucheza na maliasili zetu, hata huyo wa Moro sidhani. Leo wanapiga porojo.Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.
Shabiby amesema wakati anasoma alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Shabiby ameongeza kuwa Watu wengi wamekuwa wakidhani mafanikio aliyoyapata yametokana na kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri na kurithi mali jambo ambalo amesema sio la kweli bali siri ni kufanya kazi kwa kujituma na kwa bidii bila kukata tamaa.
Pesa za urithi uliotokana na nyara zetu.Miaka 19 unamiliki pesa za kununua basi 🤔🤔 muujiza huu 🚶🚶🚶🚶
Huki Turiani yeye ndo mkulima pekee?Fursa ya kilimo hapa Morogoro imewatoa wengi kimaisha rejea mmiliki wa mabus ya BM coach anaitwa Gaston Makundi, huyu jamaa kaanzia kwenye kilimo huko Turiani.
Huko ndiko wabobevu hasaUmesahau na nguvu za giza
Ramli teena!Piga ramli tu utapata jibu.
We unavyotuona wabongo sincerely kuna aslimia ngap wanaofanya kazi kwa bidii?? Jibu kutoka rohoni...yaan ile bidii haswaaaHivi wanatuonaga sisi hatufanyi kazi kwa bidii! Badala yake wao ndo walipambana kwa bidii zote kufikia utajiri walionao. Kuna uongo mwingine hata ukimwambia mtoto mdogo lazima akupinge tu.