MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
hukuwa unampenda sema najua ukiwekewa hela unaenda wewe!Inawezekanaje kuhama timu?🤔 Nilijaribu kuhama Yanga niende Singida kwa Guede nikashindwa
Inabidi umtafute Guede umpe mbususuInawezekanaje kuhama timu?🤔 Nilijaribu kuhama Yanga niende Singida kwa Guede nikashindwa
Huko watabaki mbumbumbu tu in the name of RageKwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga.
Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka kwingine😄
Ni suala la muda Mo dewji naye ataunga mkono juhudi.
View attachment 3070590View attachment 3070591
Matatizo ya afya ya akili!!Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga.
Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka kwingine😄
Ni suala la muda Mo dewji naye ataunga mkono juhudi.
View attachment 3070590View attachment 3070591
We totoo rudi 'home of champions'Ngoja nami nihamie mashujaa.
Anajiita Nabii Meja, huwa anashiriki kwenye kipindi cha michezo East Africa Radio, kinachoanza saa 6 kamili mpaka saa 7 kamili mchana. Huyo jamaa huwa ni mtata na ana misimamo sana, ninapata ukakasi kama amehama kwa dhati kabisa.Ndio nani huyo? Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kumfahamy mtu maarufu anaeripotiwa jf?