Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

Ndio nani huyo? Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kumfahamy mtu maarufu anaeripotiwa jf?
Shabiki wa Simba kwenye kipindi cha Kipenga cha EA Redio anaitwa Nabii Meja au haujui km kuna mashabiki pia ni maarufu? Wale unaowaona Azam TV wamevaa vitukovituko ndio hao sasa mashabiki maarufu
 
Yaani kumbe kuna nyuzi za vocha na hamsemi🙆🙆🙆
Nimepita kila jukwaa, hadi majukwaa sijawahi jua yapo jf. Ila sijaona 😭😭😭
Acheni watu wafanye wapendavyo dogo haha
 
Inawezekanaje kuhama timu?🤔 Nilijaribu kuhama Yanga niende Singida kwa Guede nikashindwa
Ni ngumu asikufiche mtu, nimeipenda arsenal miaka yangu yoote, ile arsenal tia maji tia maji, sijawahi ikimbia, japo niliweza kujicontrol kwa kuCOPE na ubovu wetu ikawa sio kesi
 
Ni ngumu asikufiche mtu, nimeipenda arsenal miaka yangu yoote, ile arsenal tia maji tia maji, sijawahi ikimbia, japo niliweza kujicontrol kwa kuCOPE na ubovu wetu ikawa sio kesi
Kwani ungesema ni Simba ungekufa?🙄
 
Amefanya maamuzi sahihi, amehamia timu ya machampions. Karibu Meja
 
Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga.

Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka kwingine😄

Ni suala la muda Mo dewji naye ataunga mkono juhudi.

View attachment 3070590View attachment 3070591
Anatambulishwa kama shabiki maarufu halafu mimi simjui, na ndiyo namwona sasa.

Ova
 
Yanga hii ni sumaku ya wapenzi; watakuja wengi tu mpaka baba yake Ali Kamwe naye atakuja tu
 
Mi namkubali sana Meja anajua mpira ana hoja japo sometimes anaongeaga kuchekesha pia!
Karibu Jangwani coach nabii meja bado Mzee Yusuph Mwenda 😂😂
Ila wabongo wanachukulia ushabiki serious sana mpaka wakataka kumgonga meja na. Pikipiki kisa alisema siku ile ya derby kama refa asingekua anakatisha mashambulizi ya Yanga Simba ingekula hata 8, wakabisha akawaambia mtaijua simba haiko sawa ikicheza na coastal!
 
Huyo watu walishamahtikia mapema kuwa yuko pale kwa Lengo la kuchafua Simba tu hata leo mtangazaji alikuuliza the same question kuwa wenzako walikushtikia mapema na leo umedhihirisha wazi hilo. Akaulizwa Azam wakiwa on fire vipi utahamia huko akaanza kujing'ata ng'ata.
 
Back
Top Bottom