Shabiki wa Simba kwenye kipindi cha Kipenga cha EA Redio anaitwa Nabii Meja au haujui km kuna mashabiki pia ni maarufu? Wale unaowaona Azam TV wamevaa vitukovituko ndio hao sasa mashabiki maarufuNdio nani huyo? Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kumfahamy mtu maarufu anaeripotiwa jf?
Acheni watu wafanye wapendavyo dogo hahaYaani kumbe kuna nyuzi za vocha na hamsemi🙆🙆🙆
Nimepita kila jukwaa, hadi majukwaa sijawahi jua yapo jf. Ila sijaona 😭😭😭
Si mniambie hizo nyuzi ziko wapi nami niende jamani!Acheni watu wafanye wapendavyo dogo haha
Ni ngumu asikufiche mtu, nimeipenda arsenal miaka yangu yoote, ile arsenal tia maji tia maji, sijawahi ikimbia, japo niliweza kujicontrol kwa kuCOPE na ubovu wetu ikawa sio kesiInawezekanaje kuhama timu?🤔 Nilijaribu kuhama Yanga niende Singida kwa Guede nikashindwa
Kwani ungesema ni Simba ungekufa?🙄Ni ngumu asikufiche mtu, nimeipenda arsenal miaka yangu yoote, ile arsenal tia maji tia maji, sijawahi ikimbia, japo niliweza kujicontrol kwa kuCOPE na ubovu wetu ikawa sio kesi
Sasa simba hii haijazidi hata miaka mi5, unaijua arsenal wewe, 😂Kwani ungesema ni Simba ungekufa?🙄
Mimi Chelsea inanipa moyoSasa simba hii haijazidi hata miaka mi5, unaijua arsenal wewe, 😂
Jiulize mashabiki wa Man U sasa.Mimi Chelsea inanipa moyo
Ngoja nikutag huko sijui kama utawezanaWeeeeh! Hebu niambie hizo nyuzi ziko wapi nikachukue vocha.
Aaah sasa mbona unanitisha?Ngoja nikutag huko sijui kama utawezana
Mi nakupeleka huko ukapambane weeee jioni nakupitia urudi nyumbaniAaah sasa mbona unanitisha?
Nikiwa hoiii bin taaban🤣Mi nakupeleka huko ukapambane weeee jioni nakupitia urudi nyumbani
Anatambulishwa kama shabiki maarufu halafu mimi simjui, na ndiyo namwona sasa.Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga.
Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka kwingine😄
Ni suala la muda Mo dewji naye ataunga mkono juhudi.
View attachment 3070590View attachment 3070591
Unakua kama unafanya zile kazi za kwenda na tishert kwenye begi😂 ukimaliza kazi kazi lazima ubadilishe nguoNikiwa hoiii bin taaban🤣
Umenena vemaHakuna shabiki anaehamaga timu. Timu ni in born. Ukiona mshabiki wa hivyo basi hajui maana ya ushabiki.