Basi bibie nimeshindwa mie, hata kama ikitokea nimekwenda sehemu nikakuta hakuna nguo na niko uchi, nitavaa hata majani kama jezi za Bush stars lakini sio jezi za Yanga!!