Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
na akirudi yanga,kwenye derby lazima awaweke [emoji28][emoji16][emoji16]Kama alirudi niyonzima huyu ni nani asirudi?
Au matusi yote yale ya manara aliyowatusi for century lakini bado mkamsajili dirisha dogo, Morrison ye nani?Kama alirudi niyonzima huyu ni nani asirudi?
Watakoma makolona akirudi yanga,kwenye derby lazima awaweke [emoji28][emoji16][emoji16]
Mpira ni ajira, ni urafiki na sio uadui. Mpira ni kama siasa tu usichukulie serious sana mienendo ya wahusika.Au matusi yote yale ya manara aliyowatusi for century lakini bado mkamsajili dirisha dogo, morrison ye nani?
Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpiraAu matusi yote yale ya manara aliyowatusi for century lakini bado mkamsajili dirisha dogo, morrison ye nani?
Ni mchezaji mzuri anaweza kuwa na madhara kwa mpinzani fanyeni hima mumsajiriMpira ni ajira, ni urafiki na sio uadui. Mpira ni kama siasa tu usichukulie serious sana mienendo ya wahusika.
Morrison akirudi Yanga lazima awafunge makolo fc.
Kweli ila endapo timu itakuwa na mwennendo mzuriHakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira
Lugha za kujifariji.Lakini ukweli unabaki palepale.Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira
yale maneno ya kuwa Yanga tuna tatizo la akili naliona linaukweli aisee.Hakuna winga anaefikia ubora wa Morrison hapa Bongo
Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira