Hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa Mashabiki wa Yanga .
1.Manara aliwatukana na kuwaita hamnazo yaani wajingawajinga tu isipokuwa baba yake na mstaafu Kikwete . Lakini baadae wakamsajili na kumtakasa kuwa ni mtu Safi.
2. Morisoni kawaendesha hadi cas na kuwaita matapeli wanaghushi saini .kawatia hasara kubwa ya kuendesha kesi takribani mwaka na miezi.Leo mtu anathubutu kukwambia hakuna adui wa kudumu kwenye mpira.
4. Mbaya zaidi morisoni kamchoma shabiki mwenzao na bisibisi , leo wamemsaliti mwenzao wanamsafisha morisoni kuwa ni bonge la mchezaji anastahili kuwa Yanga .
Kwa kifupi huu sasa ndiyo ule Ujinga aliokuwa akiusema Manara .Kwa hili Yanga hamna pa kutokea juu ya kauli ya Manara ya kuwaita wajinga.
Anyway , tusilaumu Sana juu ya hili Maana huwezi kuwa shabiki wa Yanga bila kuwa mjingamjinga.