Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Hayo maswali unaonaje angeulizwa na mapresenter walio host ile interview ambapo alisema amekuja Yanga atafanya kazi kama punda kuhakikisha mpaka wanachukua ubingwa?
Nmekuiliza wewe usihamishe magoli, before Manara Yanga isha chukua ubingwa mara 27 leo ndio aje kuisadia?
 
Akirudi bas senzo huyo kwa makolo Tena mnk haziivi na marison kbsa Bora aondoke ktk taifa hili na asikanyage Tena Kam ilivyo kwa Africa kusini
 
Kwa akili za mashabiki kama wewe ni ngumu sana Yanga kupata mafanikio katika soka la Africa. Mashabiki wapumbavu na waswahili, huzalisha viongozi wapumbavu na waswahili pia.
Tunahitaji wachezaji wenye viwango. Morrison ni mojawapo. Coach amemhitaji wewe shabiki unachotaka ni matokeo. Mengine waachie wachambuzi wa mchongo. Ati nidhamu hana wenye nidhamu kina Chico Ushindi umeona impact yao kwenye matokeo?

Tafuta timu ambayo ina mambo ya kizungu ndo ukashabikie na pia tafuta timu yenye makombe ya Africa ndo inakufaa ww na sio hii Yanga ya kiswahili

Pumbavuuuu
 
Acha ushabiki wa kijinga na kipumbavu ina maana hujui kuwa yanga bigwa Mara 27? Unataka uhesabiwe kiaje sasa?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hapa tunajadili mambo kwa data na sio kwa mazoea

Hili swala lilishaletwa hapa na kujadiliwa sana humu na hakuna conclusion iliyopatikana kuonesha Yanga wametwaa mara 27 ubingwa.

Hakuna data ambazo zinaonesha Yanga amechukua ubingwa mara 27 ikiwemo hadi lfficial site ya Yanga hakuna

Weka hapa niambie mwaka gani hadi mwaka gani ambao yanga alichukua ubingwa na tukihesabu tutafikia hizo figure 27
 
Tanzanian Premier League[6]

  • Champions (27): 1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983,1985, 1987,1989 1991,1992,1993 1996, 1997,1998, 2002, 2005, 2006, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2016–17.
 
unaelewa link yako inakuleta hapa?

1652511043615.png
 
Tanzanian Premier League[6]

  • Champions (27): 1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983,1985, 1987,1989 1991,1992,1993 1996, 1997,1998, 2002, 2005, 2006, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2016–17.
Tanzania premier league ilianza kutambulika mwaka 1997 kutoka First Division Soccer League so figure za uto kubeba ubingwa wa Tanzania Premier League zianze kusomeka kuanzia mwaka 1997 na sio 1968 ambako ilikuwa inatambulika kama National League/First Division Soccer
 
The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.

Jaribuni kuficha ujinga wenu hata kidogo
 
Back
Top Bottom