Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Ww popoma watu tuna shughuli nyingi za kufanya na sio kuwepo mtandaoni muda wore2009 yanga alichukua ubingwa?
1985 Yanga alichukua ubinngwa? na m,aji maji walichukua mwaka gani?
1989: Malindi ya Zanzibar ilichukua ubingwa lakini hapo kongole imeenda jangwani
Na 1992 kwa mara ya pili tena malindi walichukua ubingwa lakini takwimu zimeenda jangwani
Kuanzia 1993-1995 simba alichukua mfululizo lakini hapo kwenye data zako imeonesha 1993 alichukua yanga, yani hata kwenye website ya yanga hawajaandika hiyo kitu ambayo wewe umeiweka kama references hapa
1998 ubingwa ulichukuliwa na majimaji, lakini data zako kama kawaida zinasoma yanga. Yani utafikiri hii club inamilikiwa na wakenya wazee wa kusema kila kitu chao.
2002 Simba alichukua ubingwa, haya ebu angalia tena hizo data zako hapo zilizoandika yanga alichukua ubingwa 2002
Hii aibu wameikwepa hata yanga kwenye official site ebu cheki hapa mwenyewe
Hivi unafikiri Insigne alikuwa mjinga kususia huu mjadala? unafikiri hakuona hizo data zako?
View attachment 2224019
Nakuja kukupa clarification ya ubingwa Mara 27 ulivyo.....subiri nimalizie majukumu hapa