Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Mkuu naomba nitafutie source inayoonesha Simba amechukua ubingwa wa Tanzania bara mwaka 2002
1652522310478.png
 
mwaka 2002 Yanga alikuwa bingwa kwa Tanzania bara, Simba alikuwa bingwa kwenye ligi ya Muungano.View attachment 2224084
Hii ni personal view nikikuambia lete source inayoonesha yanga alichukua bingwa utapendekeza source gani?

Ningekuwa wewe ningependekeza website ya club ambayo ni official

1652522459637.png

Unaiona buku mbili na mbii hapo?
 
Hii ni personal view nikikuambia lete source inayoonesha yanga alichukua bingwa utapendekeza source gani?

Ningekuwa wewe ningependekeza website ya club ambayo ni official

View attachment 2224092

Unaiona buku mbili na mbii hapo?
Sasa kama ni hivyo umeona wameandika 22 au 23 hapo? Kwanini wameandika 27? Na sio 22?

Fact ni kwmba wamehesabia 27 kwasababu wame jumuisha pia makombe waliyoyapata kwenye ligi kuu ya Tanzania bara pekee
 
Bingwa wa bara hii ndio list yake kwa mujibu wa yanga wenyewe

View attachment 2224097

Nionyeshe hiyo 2002 iko wapi hapo?

Kama unaweza kuhisi nime edit wacha nikupe link ukajionee mwenyewe Uto na takwimu za mchongo
Umeona ulivyo na akili kijinga. Umejibiwa kwa fact na ushahidi kutoka kwenye source mbali mbali saivi unahama mada unataka tujadili website. Hoja yako ilikuwa kwamba hiyo miaka inayotimiza mara 27 Yanga hakuwa bingwa nimekuelimisha unakuja na utoto wa kujadili website. Kifupi historia ya mpira wa miguu huwezi kuipindisha kwasababu watu waliocheza mpira wapo na ukisema uongo inajulikana ni uongo.
 
Sasa kama ni hivyo umeona wameandika 22 au 23 hapo? Kwanini wameandika 27? Na sio 22?

Fact ni kwamba wamehesabia 27 kwasababu wame jumuisha pia makombe waliyoyapata kwenye ligi kuu ya Tanzania bara pekee
Hahahaha aisee we utakua mdogo wa mr bean

kumbe na simba wanavyosema mabingwa mara 22 kumbe hawahesabii yale makombe 6? kumbe simba ni mabingwa zaidi maana ukijumlisha zote unapata 28

Sasa kwanini katika miaka hiyo mingine ambayo haipo kwenye data za website ya yanga ambazo wewe unadai kuwa haijahesabiwa, Kwanini miaka hiyo tukiangalia kwenye statistics za source nyingine inaonesha ubingwa ulichukuliwa na club zingine na sio yanga?
 
Umeona ulivyo na akili kijinga. Umejibiwa kwa fact na ushahidi kutoka kwenye source mbali mbali saivi unahama mada unataka tujadili website. Hoja yako ilikuwa kwamba hiyo miaka inayotimiza mara 27 Yanga hakuwa bingwa nimekuelimisha unakuja na utoto wa kujadili website. Kifupi historia ya mpira wa miguu huwezi kuipindisha kwasababu watu waliocheza mpira wapo na ukisema uongo inajulikana ni uongo.
Hapana hapa hufanyi mjadala na mtoto namba haziongopi

Kama miaka ambayo Yanga amechukua ubingwa iliyowekwa kwenye data inahesabika 22, hiyo miaka mingine mitano imetoka wapi?

Club ya yanga ilikuwa inawa-blindfold watu kwa data ambazo hazina ukweli, miaka ambayo ime miss hapo yote ipo kwenye takwimu ambazo zinaonesha ubingwa ulichukukuliwa na timu zingine na sio yanga

Kama utaweza we niambie tu hapo ni mwaka gani ambao yanga alichukua ubingwa halafu kwenye data za website ya club hapo haupo. Halafu nipe source yako ya kuaminika ikionesha huo mwaka ambao website monitor wa yanga aliusahau kuuweka
 
Sasa kwanini katika miaka hiyo mingine ambayo haipo kwenye data za website ya yanga ambazo wewe unadai kuwa haijahesabiwa, Kwanini miaka hiyo tukiangalia kwenye statistics za source nyingine inaonesha ubingwa ulichukuliwa na club zingine na sio yanga?

Ubingwa wa kitu gani? Kama utatafuta source ya ubingwa wa Tanzania bara lazima hiyo miaka utaona inaonesha bingwa ni Yanga.
Source 1

Source 2

Source 3

Source 4

Ubingwa wa kitu gani? Kama utatafuta source ya ubingwa wa Tanzania bara lazima hiyo miaka utaona inaonesha bingwa ni Yanga.
Source 1

Source 2

Source 3

Source 4

Naomba unikumbushe ni mwaka gani ambao majimaji walianza kuchukua ubingwa?
 
Ubingwa wa kitu gani? Kama utatafuta source ya ubingwa wa Tanzania bara lazima hiyo miaka utaona inaonesha bingwa ni Yanga.
Source 1

Source 2

Source 3

Source 4

1652526026717.png

Tanzania premier league angalia mwaka 1989 hapo champion alikuwa malindi.....kumbuka hiyo ni premier league sio zanzibar tena

Lakini kwenye hizi za mchongo bingwa wa premier league alikuwa uto
1652526130713.png
 
Kwani hapa tunabishana kuhusu ubingwa wa nini?
Hapa tunabishana kuhusu ubingwa wa Tanzania bara. Sasa sahihisha swali lako je unataka kujua kuhusu Maji maji kuhusiana na ubingwa wa Tanzania bara?
 
Unaposikia neno Tanzania bara hivi unaelewa maanake nini? Maana naona mkuu unapoteza network.
Kwani mkuu tanzania bara si kinyume na visiwani?

Sasa mimi na wewe hapa tunajadili kuhusu kombe la ligi kuu la tanzania bara premier league usijitoe ufahamu
 
Hapa tunabishana kuhusu ubingwa wa Tanzania bara. Sasa sahihisha swali lako je unataka kujua kuhusu Maji maji kuhusiana na ubingwa wa Tanzania bara?
Majimaji hakuchukua ubingwa wa Tanzania premier league?

Na kama alichukua nitajie mwaka wake
 
Kwani mkuu tanzania bara si kinyume na visiwani?

Sasa mimi na wewe hapa tunajadili kuhusu kombe la ligi kuu la tanzania bara premier league usijitoe ufahamu
Sasa kama tunajadili kombe la ligi ya Tanzania bara basi tuhitimishe mjadala wewe weka hapa orodha yako ya waliochukua kombe la ligi ya Tanzania bara ili tuone Yanga imechukua mara ngapi upande wa ligi ya Tanzania bara.
 
Kweli ila endapo timu itakuwa na mwennendo mzuri

Ukimya wa mashabiki wa Yanga kutosema chochote kwa ujio wa manara umechangiwa na timu yao kuwa na perfomance inayo ridhisha

Lakini ukitaka kuona uadui wa kudumu upo, itokee siku simba kachukua huu ubingwa.

Nadhani hatua hiyo haitakuridhisha hata wewe, na hapo moja kwa moja manara atakuwa na moments ngumu ambazo hajawahi face kwenye carrier yake
Ubingwa gani..yaani wa msimu gani!?
 
Back
Top Bottom