Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Majimaji hakuchukua ubingwa wa Tanzania premier league?

Na kama alichukua nitajie mwaka wake
Maji maji hakuwahi kuchukua ubingwa wa Tanzania bara.

credit

Na

IMG_20220514_143648.jpg
 
Sasa kama tunajadili kombe la ligi ya Tanzania bara basi tuhitimishe mjadala wewe weka hapa orodha yako ya waliochukua kombe la ligi ya Tanzania bara ili tuone Yanga imechukua mara ngapi upande wa ligi ya Tanzania bara.
1652529474053.png
 
Maji maji hakuwahi kuchukua ubingwa wa Tanzania bara.

credit

Na

View attachment 2224206
Mkuu unapoambiwa reliable source uwe unaelewa, hivyo vi blog vilivyoandikwa kianzi vimeonesha udhaifu mkubwa sana, ebu angalia hapa source yako inazungumzia miaka ya belin conference
1652530117303.png

Mimi hoja yangu kubwa ambayo wewe mpaka muda huu hujanijibu, ni kwamba zile takwimu za miaka ya ubingwa zilizo orodheshwa kupitia website ya yanga unataka kuniambia wao hawakujua hiyo miaka ambayo wewe unaitaja na pale haipo?

Au walijisahau?
 
Majumuisho: Mashabiki wengi wa Yanga wako tayari kumpokea "mwana mpotevu" B.Morrison kwa mikono miwili na uso wa furaha!! Ni wachache sana ambao Wana kinyongo na Morrison.
Kitakachotokea: B. Morrison atawahakikishia Yanga (endapo watamsajili téna) kuwa hawakufanya makosa kumpokea kwa mechi za awali!! Atajituma Sana na kuwapatia matokeo mazuri, hususan Kama ikatokea kukawa na mechi dhidi ya Simba hapa mwanzoni!! Atawatesa Sana Simba!! BAADA YA HAPO: Mjasiri haachi asili!! B. Morrison halisi atajitokeza!! atawakera Sana Yanga na watajuta kumrudisha kundini!! Atazira kipindi ambacho mlikuwa mnamtegemea!! B. Morrison ni bonge la mchezaji na Hilo halina ubishi, Ila kwa tabia Ile, atasubiri Sana kutoboza na umri unayoyoma!
 
Ndio hakukuwa na mshindi mdhamini wa ligi alijitoa july 3
Nimekuuliza swali KMKM na Malindi ni timu za kutoka Tanzania bara? Kwanini nimekuomba listi ya waliochukua kombe la ligi ya Tanzania bara wewe umejumuisha na timu zisizotoka Tanzania bara? Nimekwambia niwekee mabingwa wa ligi ya Tanzania bara.
 
Mkuu unapoambiwa reliable source uwe unaelewa, hivyo vi blog vilivyoandikwa kianzi vimeonesha udhaifu mkubwa sana, ebu angalia hapa source yako inazungumzia miaka ya belin conference
View attachment 2224236

Mimi hoja yangu kubwa ambayo wewe mpaka muda huu hujanijibu, ni kwamba zile takwimu za miaka ya ubingwa zilizo orodheshwa kupitia website ya yanga unataka kuniambia wao hawakujua hiyo miaka ambayo wewe unaitaja na pale haipo?

Au walijisahau?
Kama hawakujua wasingeandika 27. ili tuhitimishe mjadala huu kwamba walisahau, kuweka hiyo miaka au waliongopa kwa kusema 27 halafu kumbe hafiki. Basi wewe niwekee mabingwa wa ligi ya Tanzania bara. Unaweka ligi inayo include wakina Malindi na KMKM hapo haitoitwa tena ligi ya Tanzania bara. Weka orodha ya mabingwa wa ligi ya ligi ya Tanzania bara mzee
 
Malindi na KMKM wamekuaje ni mabingwa wa Tanzanian bara ilihali wanatokea Zanzibar? (Tanzania visiwani)
hizo team zilikuja kushiriki hiyo ligi kwa lengo la kuwa recognized na fifa maana kwenye ligi yao ilikuwa haitambuliki
 
Kama hawakujua wasingeandika 27. ili tuhitimishe mjadala huu kwamba walisahau, kuweka hiyo miaka au waliongopa kwa kusema 27 halafu kumbe hafiki. Basi wewe niwekee mabingwa wa ligi ya Tanzania bara. Unaweka ligi inayo include wakina Malindi na KMKM hapo haitoitwa tena ligi ya Tanzania bara. Weka orodha ya mabingwa wa ligi ya ligi ya Tanzania bara mzee

Hilo nishakujibu

Halafu ambacho unashindwa kujua kuwa sio tu club za zanzibar , hata katika nafasi ya majimaji ambayo walichukua ubingwa lakini juhudi zao zimefichwa na kupewa yanga kama ndiye mshindi

Hujiulizi kwanini iwe hivyo ubingwa uende kwa yanga wakati majimaji ni club ya bara pia?
 
hizo team zilikuja kushiriki hiyo ligi kwa lengo la kuwa recognized na fifa maana kwenye ligi yao ilikuwa haitambuliki
Kwahiyo walivyokuja kwenye ligi hao, je ligi ilibakia na jina hilo hilo la bara? Je mfumo upi ulitumika kuwafanya ushirika?
 
Back
Top Bottom