Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Mpira ni ajira, ni urafiki na sio uadui. Mpira ni kama siasa tu usichukulie serious sana mienendo ya wahusika.

Morrison akirudi Yanga lazima awafunge makolo fc.
Ktk kumbukumbu zako zinasoma bado goli??? Huyo alikuja kuwarudisha nyuma...
 
Back
Top Bottom