Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Kwahiyo walivyokuja kwenye ligi hao, je ligi ilibakia na jina hilo hilo la bara? Je mfumo upi ulitumika kuwafanya ushirika?
Ndio lilibakia hivyo unaweza ukaona mwenywewe hapa

1652532347256.png
 
Nipe data lilikuwa kombe lenye udhamini wa nani?
Ligi kuu mwaka 2003 angalia data

Shida yako unatumia source moja halafu hiyo source unayotumia kuna alama ya ku edit pale unaweza edit hata wewe saivi. Na pia hiyo source yako hawajaonesha mabingwa wa ligi kuu upande wa bara. mimi natumia source zaidi ya moja na zote zinaeleza jambo hilo hilo moja
Haya ligi ya Tanzania bara mwaka 2003 cheki msimamo

Ndio lilibakia hivyo unaweza ukaona mwenywewe hapa

View attachment 2224272
Tukitumia hiyo hiyo screen shot unaona kuwa hao hao Malindi ni mabingwa wa Zanzibar premier league. Kwanini Malindi mwaka 1989 waonekane kuwa wamechukua kombe la Zanzibar premier league? Kama Zanzibar kulikuwa na premier league vipi upande wa bara hakukuwa na premier league yao?
 
Ligi kuu mwaka 2003 angalia data

Shida yako unatumia source moja halafu hiyo source unayotumia kuna alama ya ku edit pale unaweza edit hata wewe saivi. Na pia hiyo source yako hawajaonesha mabingwa wa ligi kuu upande wa bara. mimi natumia source zaidi ya moja na zote zinaeleza jambo hilo hilo moja
Haya ligi ya Tanzania bara mwaka 2003 cheki msimamo

Mi situmii source moja ila angalau natumia source ambazo mara zote zimepewa asilimia nyingi ya kuwa reliable

Nimetumia mpaka official websites ya Yanga lakini hakuna utoafuti na kile kilichoandikwa wiki

Wewe unashangazwa na edit ila hushangazwi na personal blog ambazo blog master anaweza andika chochote na ndio maana unakuta errors nyingi hafi ile ya kusema majimaji walichukua kombe mwaka 1889
 
Mkuu inamaana huelewi Tanzania premier league ina maanisha nini?

View attachment 2224289
Utaelewa tuu. Mimi watu kama nyie mnaojichetua huwa nawapendaga sana.

Haya tuje kwenye screen shot yako ya kuhusu Malindi.

Umeona hapo walipoandika kuwa Malindi walikuwa ni washindi wa Zanzibar premier league mwaka 1989?
 
Ligi kuu mwaka 2003 angalia data

Shida yako unatumia source moja halafu hiyo source unayotumia kuna alama ya ku edit pale unaweza edit hata wewe saivi. Na pia hiyo source yako hawajaonesha mabingwa wa ligi kuu upande wa bara. mimi natumia source zaidi ya moja na zote zinaeleza jambo hilo hilo moja
Haya ligi ya Tanzania bara mwaka 2003 cheki msimamo

Mkuu hii link yako kuna mahala imetaja bingwa au mi ndio sioni?
 
Tukitumia hiyo hiyo screen shot unaona kuwa hao hao Malindi ni mabingwa wa Zanzibar premier league. Kwanini Malindi mwaka 1989 waonekane kuwa wamechukua kombe la Zanzibar premier league? Kama Zanzibar kulikuwa na premier league vipi upande wa bara hakukuwa na premier league yao?
Sijaelewa kinacho kuchanganya wewe hapo ni kipi

Zanzibar kulikuwa na ligi ila ligi yao kwa nyakati hizo haikuwa recognized na fifa na ndio maana hata katika huo mwaka wa 1991 ambapo inaonesha Yanga alichukua ubingwa, kule zanzibar bingwa ilikuwa timu inayojulikana kwa jina la Small simba
 
Nijibu maswali yangu juu kuhusu Malindi tufunge mjadala
Nishakujibu kuwa ligi zilikuwa zinachezwa bara na visiwani, utofauti ni kuwa wa bara walikuwa hawashiriki ligi za visiwani ila visiwani walishiriki ligi za bara ili kupata recognization
 
Sio kweli kulikuwa na ligi ya bara ambayo ilitoa bingwa upande wa bara. Na kulikuwa na ligi ya visiwani ambapo nao walitoa bingwa wa ligi kuu ya Zanzibar.

Kisha top three wa Tanzania bara wanaungana na top three wa Zanzibar na kucheza ligi ya muungano.

Utaelewa tuu. Mimi watu kama nyie mnaojichetua huwa nawapendaga sana.

Haya tuje kwenye screen shot yako ya kuhusu Malindi.

Umeona hapo walipoandika kuwa Malindi walikuwa ni washindi wa Zanzibar premier league mwaka 1989?
Ndio nimepaona, nawe nikuulize umepaona hapo walioandika malindi kawa bingwa wa tanzania premier league?

Hiyo naweza kukufafanulia kama tu simba alivyochukua kombe la mapinduzi halafu na hili la ligi kuu aje kuchukua

Utifauti ni kwamba hii ligi ya huku bara ni kubwa na ile ya kisiwani ni changa

Mazingira kama hayo ndio yalifanyika miaka hiyo

Hata KMKM alichukua double, kisiwani na bara na ukweli wa fact hii unakuja pale unapoona katika data za bara hakuna club ya bara inayoonesha ilitwaa ubingwa katika miaka hiyo

Hizo data za kupikwa zinapwaya na ndio maana hata kimahesabu zinawagomea, yani miaka 22 nyie mnaandika 27 how come?

Haya maji maji nao mmewadhurumu ushindi wao, nao hawa mmetumia kigezo gani?

Au nao ni wazanzubar?
 
Kulikuwa ligi ya Tanzania bara inayjutegemea, ligi ya Zanzibar inayojitegemea na kisha ligi ya muungano iliyokusanya top 3 wa ligi zote mbili

Ndio nimepaona, nawe nikuulize umepaona hapo walioandika malindi kawa bingwa wa tanzania premier league?

Hiyo naweza kukufafanulia kama tu simba alivyochukua kombe la mapinduzi halafu na hili la ligi kuu aje kuchukua

Utifauti ni kwamba hii ligi ya huku bara ni kubwa na ile ya kisiwani ni changa

Mazingira kama hayo ndio yalifanyika miaka hiyo

Hata KMKM alichukua double, kisiwani na bara na ukweli wa fact hii unakuja pale unapoona katika data za bara hakuna club ya bara inayoonesha ilitwaa ubingwa katika miaka hiyo

Hizo data za kupikwa zinapwaya na ndio maana hata kimahesabu zinawagomea, yani miaka 22 nyie mnaandika 27 how come?

Haya maji maji nao mmewadhurumu ushindi wao, nao hawa mmetumia kigezo gani?

Au nao ni wazanzubar?
Maji maji hawakuwa mabingwa wa Tanzania bara walikuwa ni wa Muungano. Anza kwa kujielimisha kuhusu ligi ya muungano hapa

Sio kweli kulikuwa na ligi ya bara ambayo ilitoa bingwa upande wa bara. Na kulikuwa na ligi ya visiwani ambapo nao walitoa bingwa wa ligi kuu ya Zanzibar.

Kisha top three wa Tanzania bara wanaungana na top three wa Zanzibar na kucheza ligi ya muungano.

Chanzo cha taarifa yako ndio huyo mnyakyusa mwandike?
 
Maji maji hawakuwa mabingwa wa Tanzania bara walikuwa ni wa Muungano. Anza kwa kujielimisha kuhusu ligi ya muungano hapa

Hivi unavyoviandika hapa vyote vimekosekana kwenye official website means ni vya kutungwa

Huyo mnyakyusa siwezi kumuamini maana hapo kaongea kwa dhana ya perception
 
Naomba lete chanzo chako wewe kinachoonesha mfumo wa ligi wa muungano ulikuwaje.
Nimrkuwekea wiki umekataa, nimekuwekea miaka iliyotajwa na club yako tuhesabu tuone kama tunapata idadi hiyo ya 27 nayo pia umekaa

Unaniletea mnyakyusa ama kweli imbombo jilipo
 
Back
Top Bottom