Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Mnachosahau wengi, Morisson alipotua tu Simba alitangaza kuwa timu hiyo ni chuo kikuu cha mpira wa Tanzania.

Sasa kama ameshahitimu mafunzo yake chuoni kuna shida gani akirudi kazini? Kila ofisi inaruhusu mfanyakazi wake kwenda kuongeza ujuzi.

Welcome back BM3. Yanga loves you unconditionally.
 
JUle maneno ya kuwa Yanga tuna tatizo la akili nalioja linaukweli ?
Ujinga wa hizi club ni ule ulimbukeni wa kufanya kitu kwa lengo la kuwakomoa wapinzani

Yani hata kama jambo wanaona haliendi kuwa na maslahi yoyeote kwenye club lakini wanajua wakilifanya upande wa pili wataumia, basi watafanya.

Matokeo yake ni kwamba kile mlichokitegea kuwa kero kitazoeleka itafika mahali ile threats haipo tena na wakati huo tayari mme damage pesa zenu na bado mko kwenye chain ya kuendelea kupoteza zaidi pesa

Sio kama morrison hajui mpira, hapana ni mchezaji mzuri sana na simba hawakutamani kuacha asset kama ile ila mpaka wamefikia maamuzi hayo najua wamefikiria angle zote.
 
We will miss you Bernard.

Naulaumu uongozi wa Simba kwa kumuachia huyu jamaa aondoke Simba. Pale Simba ukimtoa Chama hakuna mchezaji mwenye kipaji kama Morrison, hata Yanga pia.

Hata Chama kwangu bado fifty fifty nikimlinganisha na Morrison aliyetulia.
 
Ujinga wa hizi club ni ule ulimbukeni wa kufanya kitu kwa lengo la kuwakomoa wapinzani

Yani hata kama jambo wanaona haliendi kuwa na maslahi yoyeote kwenye club lakini wanajua wakilifanya upande wa pili wataumia, basi watafanya.

Matokeo yake ni kwamba kile mlichokitegea kuwa kero kitazoelea itafika mahali ile threats haipo tena na wakati huo tayari mme damage pesa zenu na bado mko kwenye chain ya kuendelea kupoteza zaidi pesa

Sio kama morrison hajui mpira, hapana ni mchezaji mzuri sana na simba hawakutamani kuacha asset kama ile ila mpaka wamefikia maamuzi hayo najua wamefikiria angle zote.
Kwa akili hizi halafu eti unataka mafanikio kwenye soka. Hizi timu bora zingeajili viongozi ambao ni wazungu. Mwenyekiti, CEO, sijui katibu, sijui nani wote wawe wazungu maana wenzetu wako smart sana. Hawayumbi yumbi kufuata beat ya kwa jirani. Sasa ngoja dirisha lifnguliwe utaona timu haina huitaji wa mchezaji X kwenye nafasi hiyo lakini watataka wamsajili tu ilimradi kuonesha tumepindua meza kwa jeuri ya pesa
 
Morrison and kipaji kikubwa ila Ana maudhi mengi.
Sina uwezo was kuzuia uongozi wa Yanga umsajili ila sipendezwi na hi deal aisee
Wachezaji wapo wengi
Kumrudisha Morrison yanga itakuwa fedheha kwa kibri alichoonesha
 
Mimi kama shabiki wa Yanga napinga Morrison kurudi, vile viongozi wanatuona mazuzu ila ningekua kiongozi pale Jangwani huyu jamaa hakupaswa kukanyaga pale
 
Kama Kweli Amerudi Kwani Viongozi Wa Yanga Wa Shida Gani Aisee Na Huyu Mtu Ina Maana Africa Hii Yote Hawajaona Wachezaji Wengine Wazuri Kama Alivyo Yeye Na Tena Wengine Hata Kumzidi Mpaka Wamng'ang'anie Ivo.
 
Kwa akili hizi halafu eti unataka mafanikio kwenye soka. Hizi timu bora zingeajili viongozi ambao ni wazungu. Mwenyekiti, CEO, sijui katibu, sijui nani wote wawe wazungu maana wenzetu wako smart sana. Hawayumbi yumbi kufuata beat ya kwa jirani. Sasa ngoja dirisha lifnguliwe utaona timu haina huitaji wa mchezaji X kwenye nafasi hiyo lakini watataka wamsajili tu ilimradi kuonesha tumepindua meza kwa jeuri ya pesa
MO sio mzungu?
 
Kama hizi tetesi zitakuwa na ukweli itanihuzunisha sana, sijui wanaona kitu gani cha ziada kwa huyu mvuta bangi na mwizi wa magari.
Mwizi wa magari akiwa Simba na kwingineko ila kwa Yanga mtamtakasa
 
Jyale maneno ya kuwa Yanga tuna tatizo la akili naliona linaukweli aisee.

Morrison kawapotezea muda viongozi wa Yanga
Morrison kaiaibisha klabu ya Yanga kwa kuonekana klabu inamng'ang'ania wakati yeye kawakataa.

Morrison kaipotezea Yanga pesa kwa kufungua kesi CAS
Morrison kauumbua uongozi wa Yanga kuwa ni waongo na wababaishaji.

Mbali na hiyo tabia ya Morrison inajulikana kuwa ana tabia za hovyo. Hivi Africa nzima inamaana hakuja mchezaji anayemzidi au kulingana kipaji na uwezo Morrison?
kumbuka Yanga wenye akili ni Sunday Manara na Kikwetu tu
 
kuna mtu aliyetoa kashfa kwa Yanga kumzidi Manara,leo Manara ni nani pale Yanga?.
kosa kubwa la Morisone ni kumpiga kisu cha shingo shabiki wa Yanga na ndio kilicho mfukuzisha Simba.
 
Wepesi kusahau ula endapo kama timu inafanya vizuri
Wanamtamani kweli yaan
Screenshot_2022-05-13-23-06-07.jpeg
 
Back
Top Bottom